Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Mkuu,
unatembea sana ukiwa kwenye viunga vya Mogadishu somalia uni TAG 😊
 
Hata hicho kinachoitwa taarifa sahihi, unaweza ukawa "Masked" kunakuwa na mchongo umetengenezwa kisiri Siri, ili watu Fulani wapate dili kihalali

Vyovyote itakavyokuwa taarifa sahihi lazima ziwepo.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Pale kawe Kuna mradi wa ujenzi wa apartments za NHC mkubwa tu

Kampuni inaonekana ya wazawa.! wakati ni jasusi la kihindi limejificha kwa vivuli vya wastaafu

Fukuzeni Hawa mbwa
Mradu wa NHC Kawe una wajenzi 3
NHC wenyewe
Mchina mradi mpya
Estim Cons ambayo ni ya wahindi waliokuwa wanafanya kazi Konoike
 
Mimi Rostam kumiliki mgodi siwezi kushangaa Je amefuata vigezo na masharti yanayotakiwa basi maana hata Mwadui hana hisa nyingi sana Alafu wanasema MO ni tajiri number moja Fack Forbes
Ukifatilia TRA utagundua kuwa MO ni mlipaji mzuri tu wa kodi akiwa na kina SSB
 
Ila kwani halipi kodi wakuu hapo waangalie tu mikataba je halipi kodi je wananchi wa?kule wanafaidika chochote
 
Ros_tam (Persian)..........madini Uranium.......Iran (electrical power, energy source and nuclear weapon production)

The bombshell is loading
 
Kwa nini mabakabaka ipo kimya na kuacha haya yaendelee
Kazi yao ni kuilinda nchi na watu wake na rasilimali zilizopo.
Tumewanyamazia sana Hawa sijui kwa nini?

Wanatuchukulia poa. Hawana wanalofanya ni kula kodi Yetu.

Tuwahoji wao why au nao wanashiriki uo u huu?!!


JF kuna majibu yenu kule X kuhusu upinzani.

Mnakosa followers kwa sababu mmeegemea upande. Historia ni Mwalimu mzuri sana. Tutakumbushana baadae!


Mnaandika yanayofurahisha pande ile
Mnachuja mpaka mnakera
Msiwe bias
 
Mradu wa NHC Kawe una wajenzi 3
NHC wenyewe
Mchina mradi mpya
Estim Cons ambayo ni ya wahindi waliokuwa wanafanya kazi Konoike
Konoike ndio rostam Aziz uo.

Mbona wa TZ hawapewi hizi tenda, na tunaona engineers company nyingi TU za wazawa
 
Kwakuwa wenye asili tumelala usingizi wa pono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…