Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Polepole anachezea pesa za chama kulipa watu wenye hoja hafifu sana, Nape asingewapa hela za bure bure! Hizo pesa tunazotafuta kwa shida, afu watu hata hamfanyi kazi, unaandika tu, “Tundu Lisu hana akili”, ndo ulipwe elfu 7?
 

Hiv siku hizi polepolendiye anayeipa amri na maelekezo Tume ya uchaguzi?

Vipi ataiambiaje tume kuhusu Majaliwa kufanya kampeni nchi nzima wakati yeye ni mgombea wa ubunge kule ruangwa?
 
Hivi Polepole ni mzima kweli? kamanda Bashiru hivi huyu mtu mlimchukulia hatua gani kwa zile fedha alizowapiga wakati akijidai 'kuwashawishi' wabunge na madiwani 'kuunga juhudi'
Kaiba sana cha juu hata sasa polepole ni mwizi bado anapiga pesa kwa kisingizio cha kuiangamiza chadema
 
Mnataka kufanya kama kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa, ushindi asilimia 98.....basi sawa sisi yetu macho.
 
CCM ya sasa imejaa mambo haramu ya kishetani
 
Mnataka kufanya kama kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa, ushindi asilimia 98.....basi sawa sisi yetu macho.
NECCCM Tumeccm wanatembea na matokeo mifukoni mwao
 
Tume ya taifa ya uchaguz, ccm, na serikali tofauti yao ni majina ila watu ni walewale. So polepole aache unafiki. Anaongea kana kabwa ni tume huru kumbe imejaa makada wa chama
 
Kabisa mkuu. Hawa ni wa kunyongwa hapahapa nchini.
 
Kumbe ni nyie mlimtuma hiyo kazi ya kumwita Lissu?
Yaaani umemharibia kabisa huyo mkurugenzi mbele ya watanzania.
Kilichopaswa kusisitizwa kwa huyu mkurugezi ni kutenda haki ya wale waliokatwa ili kufanya baadhi ya wagombea kupita bila kupingwa warudishwe.
Hili la kupitisha watu bila kupingwa linaigharimu tume sii tu kwa sasa bali hata baada ya uchaguzi huu watawajibika.
 
Basi Polepole ndo Mahera usiku hivyo kila mipango ya tume itakuwa inapangwa na Polepole .
 
Hapa Polepole anatuthibitishia kuwa NEC imepewa maagizo na CCM, sasa endapo NEC hawatatekeleza maagizo watafikuzwa kazi, Polepole hajui kuficha siri.
 
Polepole anza kujielewa umeiweka tume uchi, press yako ya kwanza ulitaja mpaka idadi ya wapinzani waliokatwa na press ya pili ukasema Lissu ataitwa na tume na tume ikafanya Kama ulivyosema Sasa huoni unajichafua wewe na tume ndo maana ulimuita Lissu msukule maana unayoyapanga sirini yanakuabisha Sasa umeiharibia na tume.
 
Endelezeni uchochezi tu,kwani tunawajua ni wazalendo maslahi.Matokeo yake tutayavuna siku sii nyingi Kama mnavyo vuna matunda ya kukosa kuhakikisha,Uhuru,haki na maendeleo kwa wapiga kura hats wanewakataa ,Sasa mnaanza kuhubiri siasa chafu
 
Huyu kilaza ndiye atende haki!? You must be out of your mind.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…