Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Kwa hiyo Popolele ndo mwenye tume?
Hoja hazijibiki , mtatafuna vizibo vya peni na majibu ya hoja za lissu hampati. SHUBARAMIT!!
 
Hivi hakuna upenyo wa kisheria kumshtaki huyo aliyesema ole wake Lisu asipoitikia wito wa Tume?

Nani mwenye mamlaka ya kuchukua hatua hapo?
 
Kwake Sasa angesema anataka sema tume, iwadhulumu waliowekewa zengwe , Mimi ningemuelewa.
 
slow slow anaishurutisha tume haya ni maajabu
 

 
Waswahili wanasema mtu hakatai wito, anakataa neno.
 
Si unakumbuka mkuu, wakati wa paper ukiona mtu ameanza kutafuna kizibo cha peni, ujue tayar kanasa.....
Walikuwa wanaanza na kile kishio. Kinaliwa kinaisha, wanaenda kwenye kichwa. Wanakula hadi kinatoboka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maisha haya.....[emoji2297][emoji2297]
 
Nguvu ya umma vs nguvu ya waliokula wakashiba wakavimbiwa.
Unafahamu maana ya nguvu ya umma?! Unadhani hao kwenye mikutano ya Lissu wenu ndiyo nguvu ya umma?! Unadhani kumuua Mlelwa ndiyo nguvu ya umma? Unadhani kushinda mitandaoni kuandika hili la like dhidi ya JPM ndiyo nguvu ya umma? Hujui nguvu ya umma wewe....fanyeni fujo after October 28th ndipo muone nguvu ya umma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…