GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mungu hujibu kwa wakati, watu tulisema ipo siku hawa wanaoshiriki kuteka na kuua ndugu zetu ipo siku na wao wataonja maumivu hayo.
Gwajima , mpina, polepole wameanza lakini nyuma yao wapo akina majaliwa, bashiru, Nape January makamba na wenzao wengi sana wanakuja baada ya kusoma upepo vizuri
 
Unaandika upumbavu ambao hauna mantiki.

Kwahiyo ikiwa alifanya mambo negative na wewe unamfanyia je mtakuwa na taifa gani nyie waswahili.
 
Unatokea pori gani?
Yaani nitoke kwenye ulaji aliokuwa amepewa na jiwe mpaka kuwa balozi wa kyuba, hivi kyuba mnakujua au ndio nyinyi humu mnasema kyuba ni ulaya
Shida sio ulaji, au unapelekwa kuwa balozi wa nchi gani, nachojaribu kukufahamisha kwamba mabalozi wengi ni spy
 
Mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini.

Ukicheka na nyani utavuna mabua.

Serikali haicheki na nyani
 
Ninyi mbwa wa CCM na Samia wenu na kitambi chake, kichwa cha mviringo, acheni kuwaonea watu wasio na hatia. Yaani mtu akijiuzulu lazima muiumize family yake? Punda nyie, pumbavu kabisa.
Na wewe weka sura yako hapa tuone sura na umbo lako!! Ukute una sura kama panya buku halafu unafanyie watu wengine body shaming
 
Ko saivi tuna
1.Lisu
2Heche
3.Gwajiboy
4.Polepole
5.Mpina.

Hawa ni wakubwa kuliko Mihimili yote mitatu tukienda kwa haki.
 
Kwanini asingesema ukweli wakati huu ushenzi ulipoaanza na magufuli, au kwa vile alikuwa kwenye ulaji? na inaonekana angeaachwa kwenye asali wala msingemsikia leo
Una elimu kiasi gani ?
 
Mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini.

Ukicheka na nyani utavuna mabua.

Serikali haicheki na nyani
Utekaji kuwabambikia kesi za uongo chadema hufanywa kwa kucheka na nyani?
 
Nimemskia akisema....!

"Kama wanaweza wachukue Ndugu zangu wote, ila sitanyamaza kuongea, nitaongea, na Kwa vile mmenionyesha jambo kwa issue ya Dada yangu, Sasa nakwenda kuzungumza Kila kitu, ila nitasema 25% tu kwanza"

Anasema Wahuni lazima waachilie Nchi.
 
Unaandika upumbavu ambao hauna mantiki.

Kwahiyo ikiwa alifanya mambo negative na wewe unamfanyia je mtakuwa na taifa gani nyie waswahili.
Ukichimba kaburi lazima uingie mwenyewe. Jichunguze kwanza unaweza jikuta wewe ndiye mpumbavu pamoja na kujiita DR HAYA LAND . Pengine Dr wa mchongo kama Dr Remmy
 
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia
 

Kwa masna hii Polepole yupo mjini....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…