Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
-
- #21
Mbona Polisi anatoka Gongo la Mboto kisha anaenda kufanya kazi Central Police Station??..Kwaiyo unataka mambo aliyezaliwa Katavi afanye kazi Ruangwa π
Mambo ni jeshi la akiba
Hao wanatumika pale wanapohitajika
Yaani ni akiba labda askari wakiwa na majukumu mengine, ndo unawatumia mgambo
Kulipwa wataliwa posho za siku hiyo
Ni Polisi gani/yupo anakaa Katavi na anafanya kazi Ruangwa kisha anaenda kazini na kurudi?? Mbona unatoa mifano iliyo irrelevant sana mkuu??..Kwaiyo unataka mgambo aliyezaliwa Katavi afanye kazi Ruangwa π
Sawa mkuu, ila wawapeleke katika Kata za mbali na pale wanapoishi wao pamoja na familia zao..
Kuna adjustments zinaweza zikafanyika Mgambo wakawa sehemu ndogo ya Jeshi la Police. Ile dhana ya kuwa Mgambo ni Jeshi la akiba sasa inaweza kuondoka.Mgambo ni jeshi la akiba
Hao wanatumika pale wanapohitajika
Watu wa kwenye system ndio huwa wanajibu hivi. Simple, clear, short with humility in it. Congrats..Pole sana hakika wamekusikia