Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #21
Mbona Polisi anatoka Gongo la Mboto kisha anaenda kufanya kazi Central Police Station??..Kwaiyo unataka mambo aliyezaliwa Katavi afanye kazi Ruangwa 😀
Mambo ni jeshi la akiba
Hao wanatumika pale wanapohitajika
Yaani ni akiba labda askari wakiwa na majukumu mengine, ndo unawatumia mgambo
Kulipwa wataliwa posho za siku hiyo
Kwanini msiwachukue Mgambo kutoka Kata A kisha mkawapeleka kufanya kazi Kata B au C ambazo ni jirani??
Kuwatuma Mgambo akakamate watu anaoishi nao mtaa/Kata moja sio sahihi hata kidogo kwa usalama wake binafsi pamoja na familia yake..