Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

Na we unaamnini...
Pole sana 😆😆
 
Kamba kama kawaida
 
Tungepata picha nzuri ya huyo Mtekaji tutapata taarifa zake zaidi daah Nchi hii mamamba wamekua wengi sana wakikuvutia kwenye Land Cruiser wanaenda kukuaa tu..
 
Polisi wa Tanzania bwana huwa wanadhani kila mtu ana akili ndogo kama wao walivyo, i hawataki kuamini kwamba dunia ya sasa sio ile ya zamani zama za nyerere
 
Hivi kuna mtu huwa anaamini taarifa za POLISI? Kama yupo inabidi apelekwe MIREMBE akapate matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…