econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Wanadai ilikuwa feki. Zile za watoto kuchezeaWanasemaje kuhusu Ile silaha nayo ilikuwa fake?
Wanadai ilikuwa feki. Zile za watoto kuchezeaWanasemaje kuhusu Ile silaha nayo ilikuwa fake?
Polisi wamesema anetumia namba ya gari la mtu mwingine.Jambo ambalo huenda watu wengi hawalijui ni kwamba kila gari ya serikali ina namba za kiraia ambazo usajili wake unakoma haraka pindi linapopata nambari ya kiserikali lakini namba zile huhifafhiwa kwasababu dharura huweza kutokea ili zitumike.
Ila kama jamaa aliweka tu za kuchonga msala wake unaweza kuwa mkubwa zaidi ila kama alitumia zile za awali si issue kubwa
Ni kwa sababu gari hizo ni za kwao ndiyo maana hawawezi kujikamataKumekucha Hili Wamelitolea Ufafanuzi Haraka Zile Gari Nyingine Mbona Wanapata Ganzi Miaka Tele
Binafsi kwa kutoa plate number ya serikali?🤔Kwani dereva wa TARURA haruhusiwi kuendesha gari binafsi?
Shida ni kaweka plate no isiyojulikana..Kwani dereva wa TARURA haruhusiwi kuendesha gari binafsi?
Mungu hakika atawaona na kuwaangamizaNyie vibaka wa policcm , niwaambie tu wajinga waliisha.
Kama mmekaa mkaona mbuni mje na hili igizo basi limefeli vibaya sana watekaji ni nyie nyie na mnajuana.
Kwanini msamaha wa raisTaarifa kwa umma za Hawa jamaa mara nyingi ni za kupika kwa kutumia mabokisi na cyo Kuni
TAL ukitoka gerezani kwa msamaha wa rais utakuja kutukomboa ..
Freedom is coming
Hebu ichekiKwahiyo davoo wa Satco na mashuhuda wote hakuna aliyeona ni silaha halali au toy! Au michezo wanaleta..
Haya ndiyo majibu sahihi. Hawa jamaa kawaida Yao kuwa plate numbers nyingi na huzitumia kuteka watu. Dereva wa kawaida hawezi bandika plate namba bandia kwenye gari ya serikali.Je umeamini kweli silaha ilikuwa bandia?
Je umeamini kweli plate number 'bandia' iliwekwa na dereva kwa utashi wake?
Je unaamini yule ni dereva wa TARURA tuu!?🤣
?Hata hivyo Polisi naona wameanza kujitenga na wauaji.
Inawezekana mtekaji kajichanganya kwa police 🙌🏿🤣Jeshi la polisi la CCM being like '' Aibu utaona wewe'''...
Huu ni uwongo.kila gari ya serikali ina namba za kiraia
Hapo mwenye gari anaweza kufungua kesi ya jinai na madai kwa TARURAPolisi wamesema anetumia namba ya gari la mtu mwingine.