Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

 
Lengo la kuwa na silaha bandia ni lipi!?
Gari ya umma itabadilishiwa vipi namba za utambulisho kiholela hivi?

Ufala ni mwingi sana bongo
Huenda huyo dereva alikuwa kwenye mchakato wa kwenda kuvunja sheria za nchi mahali, hivyo wameficha utambulisho wa gari na kutumia toy ya bunduki ili wacheze michezo yao.
 

Sath John Masawa...umri 31 yes. Huu ni umri Mdogo sana wa kulia...
 
Lengo la kuwa na silaha bandia ni lipi!?
Gari ya umma itabadilishiwa vipi namba za utambulisho kiholela hivi?

Ufala ni mwingi sana bongo
Kwa kosa hilo Hana Ajira ni nje ya maadili ya utumishi
 
Kuna mtu analindwa
 
Unachomoa tuu hy bastola, mm nakuwahi kukuzuia na nikifanikiwa kuishika nakugeuzia then Ndo tutajua na bandia au OG wakati huo ubongo upo chini unapata rutuba ya ardhi
 
Je umeamini kweli silaha ilikuwa bandia?
Je umeamini kweli plate number 'bandia' iliwekwa na dereva kwa utashi wake?
Je unaamini yule ni dereva wa TARURA tuu!?🤣
Yaani inasikitisha sana ,bado tunaendelea kuwa na watu ambao wanaoamini taarifa za POLISI.
 
Gari la serikali, Toyota Landcuiser J250 linamuendesha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro linatumia namba feki,likamatwe mara moja!

Registration yake ni SM......
ILA Linatumia namba T....... (B).....
Ukiangalia hili gari linawezaje kuwa limesajiliwa kwa namba B????
 

Attachments

  • images (16).jpeg
    46 KB · Views: 11
Futa kauli hiyo kabisa kwasababu siku hao polisi wakifanya kazi kwa ueledi amini nakuambia huo ndio utakuwa mwisho wa cccm
 
Na vipi kuhusu toy🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mafala wataamini hizo giliba za polisi chawa wa Dodoma, hakuna mtu anayetembea na silaha bandia huku akitumia landcuiser la serikali linalotumia namba bandia.
Kinachonishangaza na kunistaajabisha ni the audacity of telling the obvious lies kwenye vyombo vya habari kisa kumlinda kipepeo mmoja mpumbavu, hizo land-cruisers zenye fake numbers hazijawahi kuwa na wamiliki 'vitoi'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…