Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa kweli,nabaki neutralI guess my comment won't defame you in anyhow..lakini ulichoandika is just another silly, unfounded opinion raised out of misconception and probably sheer rashness. Govt inahusika in one way or another....and that's the bottom line!
pitia tena ulichoandika huwezi base upande mmoja moja kwa moja na kuutetea at the same time unawambia watu ni mapema sana kujudgeNimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti
WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL
Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA
JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana
Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe
Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa
Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k
Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma
Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k
So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu
Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa
Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa
But Leo wanamkumbuka
SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON
Naww unae mpangie ni naniKama kuna mtu hana akili na wewe umo. Unaichukia selikari kwa lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Lazima afuateJamani hivi mkuu wa mkoa wa dar alikuepo Leo ikulu pindi ikisomwa taarifa ya madini
Sent using Jamii Forums mobile app
Saaafiiii hilo liko wazi mkuu, ujasusu una akili saaana na hili ndo jambo la msingiNimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti
WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL
Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA
JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana
Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe
Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa
Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k
Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma
Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k
So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu
Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa
Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa
But Leo wanamkumbuka
SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON
Comedy hiyo, atafute comedians bongo movie.HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Wewe unahusika maana mnayoyaandika humu, lazima uwe suspectMwenye taarifa apeleke