Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Yale Yale ya uvamizi wa Clouds media. Kusubiria ripoti kwa maandishi. Ukisha sikia kauli kama hizi unajua bayana kwamba hapa ni bwana Heri ametuma mbuzi wake
 
Kamanda, anza na wale Mh Lissu aliowashutumu kua walikua wakimfatilia, tafuteni gari aliyoitaja Mh Lissu ., mbona mna pa kuanzia., Lissu knew what he was talking about
 
hawa jamaa wanatuchezea akili zetu
 
!
!
Kuna baadhi ya thread huanzishwa ili watu tupigwe ban tu basi. Sasa kwa taarifa yako mleta uzi kama mjumbe na huyo kamanda ambaye umemsaidia kuleta ujumbe hapa... Nimeshtuka. Sipigwi ban wala sitatafutwa kwa makosa ya mitandaoni. Nakaa kimya
 
Mkuu changia kwa weledi tu ila hiyo ndiyo hali halisi ya utendaji kazi wa vyombo vyetu vya usalama
 
Polisi Dodoma, Hivi mfano angekuwa ni makamu wa rais ndio kafanyiwa hayo bado mngekuja na hizo ngonjera za raia wawaletee taarifa. Kazi ya jeshi la polisi kikosi cha investigation ni nini hasa?

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
mnataka kupata taarifa kutoka kwa nani? Hiyo ni kazi yenu. Mnajaribu kupotosha, kujidai hamjui. Siyo ninyi mnaomwinda hadi ndani ya Bunge na Mahakama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mbili au tatu kabla ya mikutano ya wapinzani, jamaa huwa wanaipiga stop kwa kisingizio eti intelijensia inaonesha uvunjifu wa amani. Kwa TL intelijensia haikuona huo uvunjifu, nahata baada ya kuvamiwa bado wanaintelijensia wanataka raia ndo wapeleke taarifa ya nani kamuona mvamizi..
Geshi ra porish sijarierewa
 
Back
Top Bottom