Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana. Mungu baba tunakuomba utende kwa mpiganaji wetu Lissu. [HASHTAG]#Pray[/HASHTAG] for Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the way mlivyo-handle issues za siege ya studio za Clouds Media, issue ya Malima Jr. na issue ya kutolewa hadharani bastola kwa Mh. Nape, raia wengi wamepoteza imani na weredi wenu
 
Sina uwezo wa kupata taarifa za kiintelijensia.Wale waonaopata taarifa za kiintelijensia wako wapi?
 
Back
Top Bottom