Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
CCM linawahusu hili....Maganda ya risasi kwenye tuko husika hayaonekani?!
Nape alitolewa bunduki waziwazi na watu wa usalama,Kigoma Malima nae akatolewa SMG kule Mikocheni,Makonda huyo huyo akavamia studio na mabenduki huku mteuzi wake akimsifia,juzi kati IMMA Advocate wameshambuliwa kwa bomu na hadi leo tunaambiwa mashudu.
Kwa trend hizi na wale waliosema wako tayari kumuua Lissu,ina maana bado hatujui nani anahusika?!
Yule aliyesema mawakili wakamatwe kwa kuwatetea wahalifu,kwa nini asikamatwe nae kusaidia kujua wahusika wa mashambulizi!!!
-Domhome-