Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Kutoka kwa Joseph Selasini Mbunge wa Rombo,,,,

Amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka
bungeni na dereva wake alilishtukia.
Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.

"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu
walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu."

Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema
anaendelea vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app

Daaa wangejua wangekimbilia polisi au mahali kwenye watu wengi ........
 
Msijidanganye kupeleka ushahidi huko. Wanachofanya hivi sasa ni kijaribu kuona kama kuna mahali wameacha ushahidi. Ila wasicho kijua ni kwamba ushahidi tayari upo tena mkubwa sana. Watu wana jifunza kwa matukio na nyakati. Msione kuwa watu mazoba na mambwiga.
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Haya kamanda subiri wakuletee
 
Nimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti

WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL


Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA


JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana

Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe


Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa

Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k



Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma

Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k



So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu

Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa


Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa



But Leo wanamkumbuka


SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON
I guess my comment won't defame you in anyhow..lakini ulichoandika is just another silly, unfounded opinion raised out of misconception and probably sheer rashness. Govt inahusika in one way or another....and that's the bottom line!
 
Back
Top Bottom