Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Maganda ya risasi kwenye tuko husika hayaonekani?!

Nape alitolewa bunduki waziwazi na watu wa usalama,Kigoma Malima nae akatolewa SMG kule Mikocheni,Makonda huyo huyo akavamia studio na mabenduki huku mteuzi wake akimsifia,juzi kati IMMA Advocate wameshambuliwa kwa bomu na hadi leo tunaambiwa mashudu.

Kwa trend hizi na wale waliosema wako tayari kumuua Lissu,ina maana bado hatujui nani anahusika?!

Yule aliyesema mawakili wakamatwe kwa kuwatetea wahalifu,kwa nini asikamatwe nae kusaidia kujua wahusika wa mashambulizi!!!
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.


adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Maganda ya risasi hayawezi kutupa mwelekeo wa mhusika?
 
Back
Top Bottom