Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.

adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
ITV AMESEMA NISSAN NYEUPE WALIOONA WAKAMWAMBIA ASEME WAKINANI NA NAMBA GANI
 
Polisi ya bongo bwana...

Ingelikuwa ni wenzetu kwa kutumia vidhibiti vidogo vidogo tu kama ukubwa wa matundu ya risasi, maganda ya risasi n.k

Sasa hivi tungekuwa tushajua angalau silaha ilinunuliwa au ilosajiliwa kwa nani, mpigaji au wapigaji wanatumia mikono gani n.k...

Lakini sasa bongo kama kawaida yao upelelezi unategemea umbea umbea tu...
 
umenena mkuu
 
Mungu ni mwema. wakati ITV wakiwa mubashara namna ambavyo maelezo yalivyokuwa yanatolewa mh! sawa ila wote tutapita njia moja
 
Back
Top Bottom