Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Walikuwa wanarushiana mawe yakawapata visogoni wamekufa Wote. Just like this.
 
I guess my comment won't defame you in anyhow..lakini ulichoandika is just another silly, unfounded opinion raised out of misconception and probably sheer rashness. Govt inahusika in one way or another....and that's the bottom line!
Sijui kwa kweli,nabaki neutral
 
pitia tena ulichoandika huwezi base upande mmoja moja kwa moja na kuutetea at the same time unawambia watu ni mapema sana kujudge
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Unamwambia nani akuletee taarifa? Si ninyi mna inteligensia yenu inayowapa taarifa? Au inteligensia yenu inafanya kazi kwa maandamano ya upinzani tu!
 
Ninawasiwasi wanaofanya haya wamekodiwa very likely from rwanda. Watanznia hatujafikia kuchukiana ivo
 
Saaafiiii hilo liko wazi mkuu, ujasusu una akili saaana na hili ndo jambo la msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Comedy hiyo, atafute comedians bongo movie.
 
Huyu bwana ashaigeuza nchi hii kuwa Syria. Hivi ni binadamu gani asiyetaka kukosolewa hata kama anafanya makosa?
 
Sasa Kwani kipi cha ajabu hapo? Au ni maneno tu ya kike kupata umbea wa kujazana
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji51]

train your mind to see good in everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…