BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 556
Mh jibu lake ni kiswahili tosha sana kwenye akili yangu,, Tunaishi kwenye tufe ili tufe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati yetu sisi wananchi na wao mapolisi ni nani mwenye jukum la kutoa taarifa kwa mwenzie acheni ubabaishaji policeHABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Sote hatuna uhakika na wala hakuna mwenye uhakika wa wauaji ni kina nani, kuwa na mikwaruzano na mtu halafu baadaye ukaja kufikwa na jambo baya. Huwezi kumtuhumu yule uliyekwaruzana naye ndiyo mhusika, kama hukumwona na huna ushahidi wowote.
Jamani Lisu alikwaruzana na serikali hata ikafikia yeye kawa ni mtu wa kuingia rumande kila wakati. Wengi wamedhani serikali ndiyo adui yake mkubwa, hivyo kukitokea jambo baya basi wao ndiyo wahusika wakuu.
Hebu tusiwaze mambo kimazoea, mengine uyaonavyo sivyo yalivyo. Dunia pana hii ina mengi tusiyoyajua, hivyo tusilo na uhakika nalo tusiruhusu hisia zetu ndiyo zitutawale. Mkumbuke nyinyi ni wanadamu na mapungufu mengi, mkumbuke pia si kila mkiwazacho chaweza kuwa kweli.
Sote twamjua Lissu kupitia siasa ila si upande wa maisha mengine, ana marafiki wampendao. Anaweza kuwa na watu ambao hawapo kwenye siasa au serikalini wakawa ni maadui zake tena hata bila ya kumkosea, wengine hatuwajui wasiyompenda Lissu.
Mtaanzaje kuhisi kirahisi tu na kuweka dhana mbaya juu ya kina fulani, jamani ifike mahali itikadi za kisiasa tusizifanye kama dini. Humjui mtu ana maadui wangapi ambao huko mnapowaza hawapo, mkumbuke yule ni binadamu na daima mwanadamu huwezi pendwa na watu wote hata wale waliyopo upande wako hujui nyoyoni mwao kuna nini.
IFIKE MAHALI MENGINE TUNYAMAZE, SI KILA MAHALI SIASA TU NDIYO CHANZO KISA TU IMEMKUTA MWANASIASA
waache polisi watajuaHUYU NDO ALIYEMPIGA RISASI AU? KAMA SURA INAKUJA NI YULE WALIYESEMA USALAMA WA TAIFA KWENYE ISHU YA NAPE AU NIMEKOSEA
Hataaa uwape miaka kumi upelelez haukamilikagaa hataa mtuhumiwa akifikishwa mahakaman utaskia upelelezi haujakamilikaa hata miaka elfuuna wao waendelee na upelelezi si wakae wasubirie
Na mm nashangaa...hii statement imekua common sana...et mwenye taarifa.?Kazi yao ni ipi sasa...kutafuta taarifa au kukaa kusubiri wapelekewe taarifa....?ujinga huu kazi ya police kuletewa taarifa au....watafute hiyo premio
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachofanya ni kutafuta kama kuna pimbi alieona ili wamchomoe waya wa Moto.Na ukiipeleka wanakutoa roho yako maanake maelekezo yameshatoka juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuona WAP anapeta?hapa hutasikia lolote kama yule alimnyooshea bastola nape, alionekana kabisa na watu wanamjua alifanywa nini, mpaka leo anapeta
Weeee zilee risasi hazikupatikana maganda yakee hataa zikipatikana utaambiwa sio za nchiii hiiiiMaganda ya risasi hayawezi kutupa mwelekeo wa mhusika?
Kwenu chattle?Tuwaombee polisi wawapate hao wanaotaka kuichafua serikali na nchi yetu kwa maslahi yao wenyewe.