Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba
 
Aisee nakumbuka sheikh ponda alipopigwa risasi,aliambiwa awataje waliompiga risasi,jeshi la namna hii unataraji linafanya justice huko kibiti,dah ati hivi ndio vyombo vya uliinzi na usalama. [HASHTAG]#shameonthem[/HASHTAG]
 
Nilitegemea watasema waharifu watapatikana ndani ya muda mfupi. "ripoti ya utekaji itakapotekwa na mtekaji" ~Imba Roma imba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hii kauli ni kejeli na ushahidi tosha kwamba nchi ipo pabaya!
Lissu alishasema siku kadhaa zilizopita kwamba kuna gari akataja na namba za gari leo huyu kamanda anaongea nini tena??
Ziro brain and Bashite on their duty!
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Hapo ndo utajua kuwa huu Ni mchezo "flani". Hata Sirro alisema wenye taarifa za kuvamiwa clouds media apeleke polisi... Baadae akajisahau baada ya MUNGIKI kuambulia kichapo akaibuka na kuwaombwa wananchi wasijichukulie Sheria mkononi badala kuomba wenye taarifa za mkutano wa CUF ya Maalim kuvamiwa na mmoja wa wavamizi kuchapwa azipeleke Polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bana jifanyeni hamjui wakati alishataja ile gari
 
Police hawajawahi kutuambia kama njia hii ilishawahi kufanikiwa tukianzia na tukio la Kanisa la Olacity Arusha au uwanja wa Soweto Arusha maana nako kauli ni hizihizi zilitumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwaombee polisi wawapate hao wanaotaka kuichafua serikali na nchi yetu kwa maslahi yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom