Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati hajui kua wewe hujui matokeo ya yeye kunena waziwazi.Poor you.Huku umejificha kiuwoga woga? Ha ha ha.
AmenNjia yao na iwe Giza na utekezi, Malaika Wa Bwana akiwafuatia, warudishwe nyuma wafadhaishwe wanaoleta mabaya, wachimba mashimo watumbukie wenyewe, Katika jina la Yesu...kila mmoja aseme amina
Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakabaHABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Yaani unajifanya shujaa huku umejificha?Wakati hajui kua wewe hujui matokeo ya yeye kunena waziwazi.Poor you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo utajua kuwa huu Ni mchezo "flani". Hata Sirro alisema wenye taarifa za kuvamiwa clouds media apeleke polisi... Baadae akajisahau baada ya MUNGIKI kuambulia kichapo akaibuka na kuwaombwa wananchi wasijichukulie Sheria mkononi badala kuomba wenye taarifa za mkutano wa CUF ya Maalim kuvamiwa na mmoja wa wavamizi kuchapwa azipeleke Polisi.HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
AcHa Kuchafua watu,kama unauhakika katolee ushahidi,unafikiri ukiongea ivo unakuwa shujaa.Kuongoza tz ni sawa unaongoza maiti.
waliompiga lissu risasi wametumwa na magufuli.
njooni mnipige na mimi niko tayari.
Leo ukitaka kujua aliyetumbuliwa kwa vyeti feki angalia comments zao tu!naona watu wamepata fursa ya kushusha hasira zao! [emoji28]Kuna watu wa
Kuna watu watu wazima hila hawjitambui kaka,utakuta mtu kama huyo anafamilia anaendesha fikiria