Ndugu zangu, nimejaribu kufuatilia yanayojili hususani jaribio la kutaka kumwua Mh. Tundu Lissu kama lilivyo-repotiwa na vyombo vya habari na response ya Jeshi la Police la Tanzania, division ya Dodoma...nilichojifunza ni kwamba hakuna jeshi la police bali kundi la wahuni waliovaa sare zinazofanana na za jeshi la Police....
Tunajua mapungufu ya Police na tunajua kuwa jaribio hili lina harufu ya kisiasa na huenda haki isitendeke, unless we join hands ili hawo waharifu wapatikane. ningependekeza yafuatayo...
- Tu-engage watu wa mitandao ya simu.nijuavyo mimi, mitandao ya simu hutumia satellite na hivyo ni rahisi kujua watu waliokuwa wanamfuatilia Lissu. kwa mfano, tukianzia Bungeni Dodoma wakati Lissu anaondoka, mpaka anafika nyumbani...kupitia network providers utaweza kuona namba za simu zilizokuwa karibu na eneo la Tukio...hivyo basi inaweza kuwa one of the leading step of investigation
- baada ya tukio, Gps ilionyesha hizo simu zikienda wapi....hapa namaanisha kuwa kutaonekana movement (pings)...
- watu gani walipigiwa simu kwa muda huo na hawo watu wako wapi? kwa ku-consider Radius ya eneo la tukio na ku-detect namba za simu itakuwa rahisi sana kuwapata hawo waharifu
- Namba zote zinazoonekana kwenye GPS, watu hawo watafute, wahojiwe na haki ichukue mkondo wake.
wandugu, mwenye mbinu zaidi za kiupepelezi atupie...