Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Unaharaka sana ya kutukana ila rekebisha matusi yako niyasome vizuri.huu sio wakati wa kukutilia maanani na vyombo vyako vinavyochunguza makengeza na havikamati wauaji,wapiga mabomu,vinaishia comedi kila leo ! Ngoja tumalize issue ya Lisu,tufungue Uzi wetu wa matusi na uchunguzi uendelee kunikamata niusadie ! Understood ! Hope soo bye till then.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa polis hilil litapita hivihivi kama yalivyopita mengine. hao wamefanya uzembe wa kutompa ulinzi. very sad.
 
Ukiona na kusikia polisi kila siku wao wanaombaga tu msaada ujue hao ni wavivu wa kufikiria na kutafuta chanzo..hivi nini maana ya intelijensia?sioni haya kusema ninyi ni wazembe hivi ni dunia ipi polisi inaomba raia msaada kwa issue kama hizi? Acheni uvivu jishugulisheni
 
September 21, mwaka 1972, Jaji Mkuu wa Uganda kipindi cha utawala wa dikteta Idi Amin, alitekwa ndani ya vyumba vya mahakama kuu ya Uganda na kupotea kwa siku 4 hadi pale serikali ya Uganda ilipoanza yenyewe kusambaza taarifa za uongo kuwa mwili wa Dr.Kiwanuka ulikuwa umeonekana ukielea juu ya mto Nile, na serikali ilijitia kuagiza kuwa wauaji/watekaji wa Dr.Kiwanuka wangetafutwa popote walipo na kukabiliana na hatua za kisheria.

Lakini ukweli ni kuwa Idi Amin mwenyewe kwa mkono wake mwenyewe alikuwa amemwua Dr Kiwanuka baada ya Jaji huyo kuwa amechukizwa na kukosa utawala wa Amin kwa kukiuka wazi wazi utawala wa sheria.

Ajabu baada ya mauaji, Idi Amin alihifadhi mwili wake katika mafriji ya Ikulu ya nchi hiyo na akawa akipita hospitali moja baada ya nyengine eti akitafuta mwili wa Dr Kiwanuka. Pia alikuwa akitema mkwara mzito kwamba yeyote ambaye angekamatwa kwa mauaji ya Dr Kiwanuka angekiona cha mtema kuni...

Watawala wa Kiafrika wana mambo sana duh!
 
Maganda ya risasi kwenye tuko husika hayaonekani?!

Nape alitolewa bunduki waziwazi na watu wa usalama,Kigoma Malima nae akatolewa SMG kule Mikocheni,Makonda huyo huyo akavamia studio na mabenduki huku mteuzi wake akimsifia,juzi kati IMMA Advocate wameshambuliwa kwa bomu na hadi leo tunaambiwa mashudu.

Kwa trend hizi na wale waliosema wako tayari kumuua Lissu,ina maana bado hatujui nani anahusika?!

Yule aliyesema mawakili wakamatwe kwa kuwatetea wahalifu,kwa nini asikamatwe nae kusaidia kujua wahusika wa mashambulizi!!!
[emoji30][emoji30][emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana jana wakati wa kuwasilisha ripot ya nani jamaa alikuwa amepoa sana kumbe alikuwa anasubiria asikie breaking news Lisu afariki. Mungu sio athumani Lisu mzima sijui kama alipata usingizi.
Jamaa Roho mbaya inamsumbua sana na hakika nchi yetu yenye upendo na amani hatafanikiwa kuitawala kiimla...
 
September 21, mwaka 1972, Jaji Mkuu wa Uganda kipindi cha utawala wa dikteta Idi Amin, alitekwa ndani ya vyumba vya mahakama kuu ya Uganda na kupotea kwa siku 4 hadi pale serikali ya Uganda ilipoanza yenyewe kusambaza taarifa za uongo kuwa mwili wa Dr.Kiwanuka ulikuwa umeonekana ukielea juu ya mto Nile, na serikali ilijitia kuagiza kuwa wauaji/watekaji wa Dr.Kiwanuka wangetafutwa popote walipo na kukabiliana na hatua za kisheria.

Lakini ukweli ni kuwa Idi Amin mwenyewe kwa mkono wake mwenyewe alikuwa amemwua Dr Kiwanuka baada ya Jaji huyo kuwa amechukizwa na kukosa utawala wa Amin kwa kukiuka wazi wazi utawala wa sheria.

Ajabu baada ya mauaji, Idi Amin alihifadhi mwili wake katika mafriji ya Ikulu ya nchi hiyo na akawa akipita hospitali moja baada ya nyengine eti akitafuta mwili wa Dr Kiwanuka. Pia alikuwa akitema mkwara mzito kwamba yeyote ambaye angekamatwa kwa mauaji ya Dr Kiwanuka angekiona cha mtema kuni...

Watawala wa Kiafrika wana mambo sana duh!
Hadithi za primary.... kwa kumezeshwa mabaya ya idd amini toka kwa whites...

Endelea kuwa mtumwa alafu ipo day utagundua amini ni nani na lengo la yoote ilikua nin.

Acha propaganda za primary.
na manyimbo ya mxhakamchaka ya miaka ile hujui lolote ndio umekua nayo.. now unajua hautak kuchambua.

Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi

Sent from "La -Vista"
 
Labda ziliandaliwa zote mbili ya pole ya kujeruhiwa na pole ya kifo
Ni ukweli unaouma na kusikitisha sana. Baadaye wanasema walikosea. Yaani "Agosti" na "Septemba" zinafananaje? Angalau hata makosa yangekuwa kuandika 7/8/2017 badala ya 7/9/2017, lakini mtu anawezaje kuandika herufi ya kwanza hadi ya mwisho ya Agosti bila ya kustuka kwamba alitakiwa kuandika septemba!?

Wanataka kusema kwamba huyo mwandishi wa lile tangazo kwa mwezi huu mzima hakuwahi kuandika barua, na jee kama aliandika, barua zote alizoandika aliandika Agosti badala ya Septemba?
 
Ikiwa mtu aliweza 'Kumbaka mtoto wake wa kumzaa yeye mwenyewe' huku akiwa kiongozi wa wizara , na hatimae binti kuamua kujiua kutokana na unyama aliofanyiwa na 'Nduli' yule ambae anaishi pale 'magologoloni'.....ndio atashindwa kummaliza Kamanda TL?

Ukitaka ujue yule jamaa ni 'Mnyama' angalia sura yake. Sura yake ina reflect 'roho yake mbaya' jinsi ilivyo. Ni jamaa katili sana kuwahi kutokea hapa duniani....lakini cha kushangaza anawafanya watu ni wajinga 'eti mniombee' .... pa.m.di.di , amuombee nani?

Natamani Mungu afanye muujiza wa kweli ili kuweza kutuondolea 'mtu yule'.

Mungu mfanyie wepesi ndugu yetu na mpendwa wetu TL ili aweze kupona haraka, tunaamini wewe ni MUNGU WA KWELI.
 
Back
Top Bottom