Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Wakati nasoma uchumi nakumbuka neno hili: *THE MOST DISHONEST LAWYERS ARE PRODUCT OF DISHONEST CLIENT*
_Demand creat the supply_
Let us use CHI-SQUARE methode to test the result.
H-Was shot because of his law carrie
H'- Because of othe factor.
OR!
H- Law itself create a situation of today
H'- Only Law is a killer in all phenomenon.
OR.
H- They created a law to benefit through it.
H'-neither 2+2=? Nor 2+2=5 Is only law wait to prove it.
Conlusion. Tunatafunwa na SHERIA YENYEWE.


}|~[emoji813]
 
Hivi ni vyombo vya kabatini sio dola!
 
Ndugu zangu, nimejaribu kufuatilia yanayojili hususani jaribio la kutaka kumwua Mh. Tundu Lissu kama lilivyo-repotiwa na vyombo vya habari na response ya Jeshi la Police la Tanzania, division ya Dodoma...nilichojifunza ni kwamba hakuna jeshi la police bali kundi la wahuni waliovaa sare zinazofanana na za jeshi la Police....
Tunajua mapungufu ya Police na tunajua kuwa jaribio hili lina harufu ya kisiasa na huenda haki isitendeke, unless we join hands ili hawo waharifu wapatikane. ningependekeza yafuatayo...
  1. Tu-engage watu wa mitandao ya simu.nijuavyo mimi, mitandao ya simu hutumia satellite na hivyo ni rahisi kujua watu waliokuwa wanamfuatilia Lissu. kwa mfano, tukianzia Bungeni Dodoma wakati Lissu anaondoka, mpaka anafika nyumbani...kupitia network providers utaweza kuona namba za simu zilizokuwa karibu na eneo la Tukio...hivyo basi inaweza kuwa one of the leading step of investigation
  2. baada ya tukio, Gps ilionyesha hizo simu zikienda wapi....hapa namaanisha kuwa kutaonekana movement (pings)...
  3. watu gani walipigiwa simu kwa muda huo na hawo watu wako wapi? kwa ku-consider Radius ya eneo la tukio na ku-detect namba za simu itakuwa rahisi sana kuwapata hawo waharifu
  4. Namba zote zinazoonekana kwenye GPS, watu hawo watafute, wahojiwe na haki ichukue mkondo wake.
wandugu, mwenye mbinu zaidi za kiupepelezi atupie...
Aya mambo ni yakwenye muvi!! Ukitaka kujua tz kuna vyombo vya dola ni mpka neno "maelekezo kutoka juu" lije kwa siri, ila kupitia twiter hapo jua kuna vyombo vya harusi
 
Angepigwa Mwigulu Nchemba,Fisi chawene,Angela Kairuki,Jesca,T.Ackson,au Jobu hiyo gari iliyotumika insingekwenda hata Km 2 zaidi,ingekuwa imekamatwa kitambo!na mipaka yote ingefungwa kuhakikisha wanasakwa wote waliohusika kwa muda mfupi sana!!

Lakini kwa kuwa huyu ni adui wa wazalendo wa nchi hii,wazalendo wenye matendo yasiyoshabihiana na maneno yao basi,hakuna anayejali!!(wanajali kwa maneno lakini matendo yao hayaonyeshi kujali)

Hivi kweli mtu kama Tundu Lissu anashambuliwa mchana kweupe tena sio bar,nyumbani kwake,halafu hakamatwi MTU hata mmoja,na jeshi la polisi pasipo soni linatwambia linasubiri raia wenye taarifa wapeleke polisi??????
Hakika tumuombe Mungu atuepushe na mabalaa haya,yanatupeleka mahala ambapo hatujawahi kufikiria kama kuna siku tutafika?

Bado nawaza kwa sauti,kama niendelee kumuombea anayeomba kuombewa kila siku????au nianze kumuomba Mungu atuondolee balaa la mtu huyu aipelekaye nchi yetu katika hali hii inayotusumbua!!!
SIASA HAZIPASWI KUWA CHUKI KUFIKIA KIWANGO HIKI,TUKIRUSU KUFIKA HUKU HAKUNA YEYOTE KATI YETU ATAKUWA SALAMA,WANAOTENDA LEO WANAWEZA KUTENDWA KESHO,TUSIKUBALI,TUSIKUBALI TUSIKUBALI KABISA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ameanza kuongea?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]

post using my macbook air using jamiiforums app

mmelazimisha kuonekana wazalendo lakini hamna mvuto, mmejaribu kumchafua jamaa ili mkubalike lakini wapi, sasa mmeona hamna namna zaidi ya kumuua anayewafunika.
 
mmelazimisha kuonekana wazalendo lakini hamna mvuto, mmejaribu kumchafua jamaa ili mkubalike lakini wapi, sasa mmeona hamna namna zaidi ya kumuua anayewafunika.
Siku nyingine unapo-quote uwe makini



post using my macbook air using jamiiforums app

 
Hi si mara ya kwanza kwa kuuwawa au mtu kujeruhiwa hapa Tanzania . Watu wasio na hatia wameuwawa kikatili kibiti mkoani pwani na jeshi kushilikiana na wananchi wakafanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa mauwaji hayo. Sasa hili la Lissu Ni moja tu ya uhalifu ambao huwa unawatokea watu . So hamna jipya hapo . Na risasi zilivyopigwa inaonesha walikuwa wanampa onyo sababu Kama walikuwa wana Nia ya kumuua wangemua .
 
hapa siri ni moja tu ili kutufumba macho na akili subirieni breaking news hivi karibuni kwamba waliohusika wameuwa na silaha walizozitumia tumezikamata alafu kesi inakuwa imeisha hii ndo bongo jameni kuweni watulivu tu na angalieni mienendo yenu usije ukatolewa kafara ya kufunga kesi ya lisu
 
Back
Top Bottom