Kwa maelezo yako nimependa sana ila nimenot vitu hiviChochote tu ingekuwa ni furaha na Mungu alivyo wa ajabu huenda tukasikia chochote kwa hao waliomshambulia Lisu ili kuutoa uhai wake
Alieagiza na waliotumwa au waliokuwa na dhamira mbaya juu yake toka mwanzo
Mungu haangalii cheo cha mtu bali haki na wajibu wa watu wake kwake
Pray for Lisu
Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
VIP umeshamjua mmiliki wa Nissan nyeupe?Kwa majuma kadhaa nilikuwa hapa Dodoma kwa kazi maalum lakini binafsi. Nilikuja hapa kupata dondoo kuhusu nini hasa kilitokea kabla, wakati na baada ya shambulio la risasi la Mbunge Tundu Lissu. Nimeyapata ya kuyapata na kusikia ya kuyasikia.
Niliyoyapata nitayakabidhi Polisi kwa namna nitakayoona inafaa kuitikia wito wa kuwasilisha 'taarifa' yoyote. Lakini, nitayahifadhi kwa kumbukumbu zangu na, ikiwezekana, kumkabidhi Mhusika atakaporejea.
Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.
Bunduki za nini tena jamani kwenye kujenga hoja!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ngoja watu wasiojulikana wakunyatieKwa majuma kadhaa nilikuwa hapa Dodoma kwa kazi maalum lakini binafsi. Nilikuja hapa kupata dondoo kuhusu nini hasa kilitokea kabla, wakati na baada ya shambulio la risasi la Mbunge Tundu Lissu. Nimeyapata ya kuyapata na kusikia ya kuyasikia.