mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,842
Kwa maelezo yako nimependa sana ila nimenot vitu hiviChochote tu ingekuwa ni furaha na Mungu alivyo wa ajabu huenda tukasikia chochote kwa hao waliomshambulia Lisu ili kuutoa uhai wake
Alieagiza na waliotumwa au waliokuwa na dhamira mbaya juu yake toka mwanzo
Mungu haangalii cheo cha mtu bali haki na wajibu wa watu wake kwake
Pray for Lisu
Uchaguzi
Mkuu Wa Tanzania kwa sbb hii issue imewahusu viongozi wakubwa
Na mwisho Wa siku hao wakiwa machinizi dah