Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Chochote tu ingekuwa ni furaha na Mungu alivyo wa ajabu huenda tukasikia chochote kwa hao waliomshambulia Lisu ili kuutoa uhai wake

Alieagiza na waliotumwa au waliokuwa na dhamira mbaya juu yake toka mwanzo

Mungu haangalii cheo cha mtu bali haki na wajibu wa watu wake kwake

Pray for Lisu
Kwa maelezo yako nimependa sana ila nimenot vitu hivi
Uchaguzi
Mkuu Wa Tanzania kwa sbb hii issue imewahusu viongozi wakubwa

Na mwisho Wa siku hao wakiwa machinizi dah
 
Wiki ikiwa imemalizika hadi sasa hakuna hata fununu za awali juu ya watu waliohusika kumufyatulia risasi 38 tundu Lissu.

Kwa wanaosubiri mtaendelea kusubiri hadi karne katika hili hamuwezi kuupata ukweli au wahusika Wa tukio

Mungu mponye Tundu Lissu
 
Ww unamwazia Mh Lissu tu...
Yule mjeda aliopigwa risasi nae sio binaadam??
Watu waliopata ajali la roli hawana damu au
Mamtu mengine bana yanaongea bila hata ya kuvaa Helmet
 
Upelelezi wa nini wakati Viongoz wa CDM wanajigamba kuwa wanawajua wahalifu.
 
Kuna watu hufa vibaya sana maisha ni mwao mpaka unashangaa.

Lakini nimeanza kujua kumbe kuna mambo labda waliyafanya huko nyuma sasa yanalipa kiasi.
Ni wajibu wetu kujua na kuangalia vile tunavyoishi katika planet hii.

Principle ni hii, mile akipandacho MTU ndicho atakachovuna. Sasa unachichagulia labda ngoja nipande chuki, mauaji, utesaji au faraka unapovuna usije kusema hatukukwambia.

Mungu atamponya Lissu kama hakufa siku ile jamaa atakuwa hajamaliza kusudi lake la kuwepo hapa duniani
 
Kwa majuma kadhaa nilikuwa hapa Dodoma kwa kazi maalum lakini binafsi. Nilikuja hapa kupata dondoo kuhusu nini hasa kilitokea kabla, wakati na baada ya shambulio la risasi la Mbunge Tundu Lissu. Nimeyapata ya kuyapata na kusikia ya kuyasikia.

Niliyoyapata nitayakabidhi Polisi kwa namna nitakayoona inafaa kuitikia wito wa kuwasilisha 'taarifa' yoyote. Lakini, nitayahifadhi kwa kumbukumbu zangu na, ikiwezekana, kumkabidhi Mhusika atakaporejea.

Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.

Bunduki za nini tena jamani kwenye kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Mkuu,mada zako zinachukuliwa na watu wasiojulikana
 
Hata mimi ningependa utumie uwanja huu kama isemavyo kauli mbiu ya Dare to Talk Openly.

Weka hapa.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Research ya tukio la Lissu hata mwanafunzi wa certiface anaweza kufanya vizuri sana.
 
Yamwage hapa tu maana wale wazee wa-Nissan nyeupe wakiyapata hawakawii kuyachoma moto au kuyateka.
 
Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Mbona unachokoza hisia za wadau bila hata kutumegea japo kidogo mkuu.....
 
Asante kwa taarifa tunakutakia safari njema huko Kibiti uendako.
 
Kwa majuma kadhaa nilikuwa hapa Dodoma kwa kazi maalum lakini binafsi. Nilikuja hapa kupata dondoo kuhusu nini hasa kilitokea kabla, wakati na baada ya shambulio la risasi la Mbunge Tundu Lissu. Nimeyapata ya kuyapata na kusikia ya kuyasikia.

Niliyoyapata nitayakabidhi Polisi kwa namna nitakayoona inafaa kuitikia wito wa kuwasilisha 'taarifa' yoyote. Lakini, nitayahifadhi kwa kumbukumbu zangu na, ikiwezekana, kumkabidhi Mhusika atakaporejea.

Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.

Bunduki za nini tena jamani kwenye kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
VIP umeshamjua mmiliki wa Nissan nyeupe?
 
Mkuu na we unaogopa kukutwa na wasiojulikana??
Mwaga mboga hapa hapa!!
 
Kwa majuma kadhaa nilikuwa hapa Dodoma kwa kazi maalum lakini binafsi. Nilikuja hapa kupata dondoo kuhusu nini hasa kilitokea kabla, wakati na baada ya shambulio la risasi la Mbunge Tundu Lissu. Nimeyapata ya kuyapata na kusikia ya kuyasikia.

Niliyoyapata nitayakabidhi Polisi kwa namna nitakayoona inafaa kuitikia wito wa kuwasilisha 'taarifa' yoyote. Lakini, nitayahifadhi kwa kumbukumbu zangu na, ikiwezekana, kumkabidhi Mhusika atakaporejea.

Sikupata mengi lakini nimayapata ya muhimu. Nitayaweka kwa vyombo husika ili viyafanyie kazi pamoja na taarifa, nyaraka na kumbukumbu nyingine. Polisi watatenda hadi wananchi watapenda. Polisi wako imara kila idara. Sasa, narejea Kibiti Pwani.

Bunduki za nini tena jamani kwenye kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ngoja watu wasiojulikana wakunyatie
 
Back
Top Bottom