Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Litakuwa jambo jema ili mradi liwe na ushahidi usio wa mashaka wala ghiriba au fitna!Mbunge Halima Mdee amesema, iwapo Polisi hawatawataja waliomshambulia Tundu Lissu, Mbunge huyo yuko tayari kuwataja mwenyewe
View attachment 615087
Waliowatuma na kusimamia ndiyo wanajulikana lakini waliotekeleza uhalifu hawajulikaniNa wewe Halima ukishindwa kuwataja, mimi nitawataja
Ujinga huu CHADEMA mnaufanya
ujue sometimes nawaza nyie chadema akili zenu zikoje...
Ujinga huu CHADEMA mnaufanya
ujue sometimes nawaza nyie chadema akili zenu zikoje
enheee...ntawataja ntawataja..so what?
Kwani ni kitu gani ambacho Chadema haijataja hadi sasa
si wameshasema serikali inahusika ..tena mara nyingi
na hiyo serikali wala haijahangaika
Kwa hio inasaidia nini hiyo tishia nyau
Aisee hawa jamaa inabidi wajifunze siasa ngumu..Enzi za siasa za kikwete zimeshaisha
kwani mpaka sasa uma haujui? nini hamjasema?Jee una maana ya shaba kwa shaba ?
Ukinipiga manati nikupige manati ? Risasi kwa risasi ?
Waache wataje walohusika...serikali ikitaka itakaa kwa upande wa haki au upande wa wauaji..hio ni shauri yao...ila umma utajua nani ni mharibifu wa amani yetu
Imefikia wakati wa Halima kuolewa ili atulie
Manasheria, pathetic!Hii tabia ya wanasiasa kuwa wanatishia kusema/kutaja huwa inakera sana. Kama ni kusema/kutaja, sema/taja. Hakuna haja ya kutishiatishia. Ndiyo maana, siasa za aina hii huitwa za kutafutia kiki.