Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Hii tabia ya wanasiasa kuwa wanatishia kusema/kutaja huwa inakera sana. Kama ni kusema/kutaja, sema/taja. Hakuna haja ya kutishiatishia. Ndiyo maana, siasa za aina hii huitwa za kutafutia kiki.
 
Waache upumbavu kama unawajua uwataje na uthibitishe kuwa ni wao. Ni ukatili uliopitiliza kuyafanyia maisha ya mwanaadamu mwenzio siasa. Stop kicking around the bush lete majina na uthibitisho tuufunge huu mjadala
 
Na mimi nasema watajwe tu, eeeh hakuna namna, tumechoka sasa. Ukiambiwa ujitokeze mwenyewe na ww usijitokeze eeh utatajwa tu.
 
Ujinga huu CHADEMA mnaufanya
ujue sometimes nawaza nyie chadema akili zenu zikoje
enheee...ntawataja ntawataja..so what?
Kwani ni kitu gani ambacho Chadema haijataja hadi sasa
si wameshasema serikali inahusika ..tena mara nyingi
na hiyo serikali wala haijahangaika
Kwa hio inasaidia nini hiyo tishia nyau
Aisee hawa jamaa inabidi wajifunze siasa ngumu..Enzi za siasa za kikwete zimeshaisha

Jee una maana ya shaba kwa shaba ?
Ukinipiga manati nikupige manati ? Risasi kwa risasi ?
Waache wataje walohusika...serikali ikitaka itakaa kwa upande wa haki au upande wa wauaji..hio ni shauri yao...ila umma utajua nani ni mharibifu wa amani yetu
 
kwani mpaka sasa uma haujui? nini hamjasema?
 
Waweke na picha zao tuwaone na kuwatambua then tutajua cha kuwafanya hawa madhalimu.
 
dah ata bila kuwataja ni aibu kubwa sana maana walitegemea atakufa ila mpk sasa yupo hai
 
Hii tabia ya wanasiasa kuwa wanatishia kusema/kutaja huwa inakera sana. Kama ni kusema/kutaja, sema/taja. Hakuna haja ya kutishiatishia. Ndiyo maana, siasa za aina hii huitwa za kutafutia kiki.
Manasheria, pathetic!
 
ccm mnachonga ! Simtulie wakutajwa watajwe na watajaji ? Hofu ya nini,uchunguzi huru hamtaki,mnang'ang'ania hawajulikani !!! Watu wakisema wanajulikana mnachonga !! Kunguni nyie,ndo maana magufuli alise msichomwe wakati wa kampeni ! Eti nyumba ikiwa na kunguni...! Leo kunguni wake wanatung'ata hadi macho.
 
Wasalaam
siku zote ni dhambi kuleta siasa kwenye uhai wa binadamu yoyote. Imepita miaka takribani sita tangu TL aliponusurika kuuwawa kwa kupigwa risasa 16. Haya yote yamefanyika chini ya utawala wa ccm na rais samia alikua makamu wa rais na hakuna mtuhumiwa aliekamatwa. Ni wakati muafaka sasa tuwajue wauaji wasiojulika naamini mh rais anawajua.

Ijumaa karim.
 
Back
Top Bottom