Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

1504815198242.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waneshindwa kuwafikisha mahakami waliomteka Roma maana Roma aliwaona na polisi hawajafanya lolote. Sasa hawa wana smg siju watawapataje. Vipi yule aliyesema apewe kazi ya kumuua Tundu Lisu hajakamatwa? Binafsi sina imani na jeshi la polisi kwa jambo lolote. Wafanyabiashara wa madini, utekaji wa Roma, kibiti, uchaguzi , majambazi mwanza mapangoni,
 
Mwanasheria Tundu Lissu aliwahi kutoa taarifa kuwa kuna gari ilikuwa inafutilia kila siku akataja mpaka aina ya gari na namba za gari lakini Jeshi la Polisi hawakuchukua hatua zozote kwa sababu inawezekana walikuwa wanajua. Mungu yupo atamlinda Tundu Lissu siku zote hatoweza kumdhuru tena nimeshindwa mtaendelea kushindwa hakuna kinachoshindikana kwa Mungu.
 
waanze na lile gari lililotajwa kumguatilia .
 
Mwanasheria Tundu Lissu aliwahi kutoa taarifa kuwa kuna gari ilikuwa inafutilia kila siku akataja mpaka aina ya gari na namba za gari lakini Jeshi la Polisi hawakuchukua hatua zozote kwa sababu inawezekana walikuwa wanajua. Mungu yupo atamlinda Tundu Lissu siku zote hatoweza kumdhuru tena nimeshindwa mtaendelea kushindwa hakuna kinachoshindikana kwa Mungu.
waanze na lile gari lililotajwa kumfuatilia .
 
Haya mmeshafanya yenu...nendeni mkafanye upekuzi kwa Tundu Lissu kuwatafuta wauaji!
 
Hahaha....inabidi nicheke tu, japo nimejawa na uchungu mwingi mno....Kama BOMBARDIER walienda kuitafuta kwa Lissu, haitashangaza pia wakienda kufanya upekuzi kwa Lissu kuwatafuta wauaji, au kumpima mkojo...EE MUNGU TUSAIDIE TAIFA LINAANGAMIA MCHANA KWEUPE SAA 7!
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
hawakusikia mlio wa risasi zote zile wanakuja kuuliza ili iweje sasa...gari linafanikiwa kufanya uharifu Dodoma mji Mdogo kabisa kuna kitu hapo ngoja niishie hapa..
 
Nape alitolewa bastola na usalama hadharani kabisa, why washindwe kumvamia Lissu??
Wanamjua mhusika mkuu halafu wanataka kusumbua wananchi 'eti mlete taarifa.. kwani kazi yenu ni nini?? No wonder Mange anatukana kama hana akili nzuri maana hawa majangili sisiemuuu mnaudhi
 
Hi si mara ya kwanza kwa kuuwawa au mtu kujeruhiwa hapa Tanzania . Watu wasio na hatia wameuwawa kikatili kibiti mkoani pwani na jeshi kushilikiana na wananchi wakafanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa mauwaji hayo. Sasa hili la Lissu Ni moja tu ya uhalifu ambao huwa unawatokea watu . So hamna jipya hapo . Na risasi zilivyopigwa inaonesha walikuwa wanampa onyo sababu Kama walikuwa wana Nia ya kumuua wangemua .
On point...walienda watu wazito Sauzi wakarudi kwnye caskette,kama 'uncle sam' wa Bongo angekua anahusika,they would have done it a long time ago and proffesionaly...
 
Back
Top Bottom