Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

hahahahaha mkuu kma english hufaham si ukae kimya kma anavyofanya magu!! kwani ni lazma uongee english ili uonekane msomi??? kma english yenyewe ndio sifuri sembuse utamuelewa lisu??

nkirudi kwenye hoja ya msingi kwamba lisu ni msaliti labda niulize.... lisu kasaliti nni na wapi?? hyo ya bombardier alisaliti ama alituambia watanzania ukweli wa mambo yanayoendelea!!! kwani lisu ana mamlak gani kisheria kuzuia ndege???

nyie mtatafuta pa kumshikia lisu hamtopata na kumuua mmeshindwa ndio maana inawauma....shame on u
LISU ni mpiga deal kama ulivyo wewe na CHADEMA wengine..... hali yenu ni mbaya...tafuteni pa kutokea.... MSALITI anayekebehi vyombo vya usalama kila siku na ajilinde mwenyewe...
 
Wanajulikana, mmoja alivaa miwani nyeusi na kapelo,. Nahisi alikuwepo pia Chamazi kwenye game la Azam vs Simba. Alikula miwani nyeusi na kapelo hivyhivyo.
😉😉😉😛😛😛
 
Wanajulikana, mmoja alivaa miwani nyeusi na kapelo,. Nahisi alikuwepo pia Chamazi kwenye game la Azam vs Simba. Alikula miwani nyeusi na kapelo hivyhivyo.
😉😉😉😛😛😛
Kuna haja ya sisi raia kuchukua hatua zaidi
 
natamani sikumoja nisikie polisi ikiwataka wenye kuwajua wanaomtusi na kumdhihaki mungu wapeleke taarifa.
 
What do you mean?
Usipo jua unako kwenda barabara yoyote itakupeleka usiko kujua ''ina maana utapotea'' Sometimes we need not to hammer on the nail instead we can use silent languages'' Thus why others are suggesting for independent inquiry on this matter
 
Hii gari imekuwa maarufu ghafla na ndio inayosemekana ilishiriki katika jaribio la kumtoa uhai Mwanasheria Tundu lisu, T 465 CQV nina mambo 10 yanayonijia kichwani haya hapa

1. Nape anafahamu kuwa gari ili linatumiwa na watu waliomsababisha kufukukuzwa kazi why kwa sabababu luliwahi kumfuatilia.
2. Inawezekana Gari hii ina namba mbili yaani moja ina usajili wa SU (serikali) na nyingine ina usajili wa T( watu binafsi) .
3. Inawezekana Baadhi ya vigogo wa TRA wanalifahamu gari hili
4. Magari aina ya Nissan yenye rangi nyeupe wanatumia sana watu wa usalama nenda hata kesho kwenye maofisi ya watu wa usalama wilayani na mikoani utayaona.
5. Inawezekana Tundu lissu ana information zote za hili gari kwa maana naamini alishawahi kulichunguza kwakuwa alikuwa akifuatiliwa so akiongea tutajua zaidi
6. Inawezekana anayosema mange kuwa usajili wa gari hili taarifa zake sasa ziko protected na wafanyakazi wa kawaida wa tra hawawezi kuaccess info zake
7. Inawezekana kuna connection Kubwa kati ya Mkuu wa mkoa(SIRI) na hili gari
8. Asilimia 90 ya watanzania wanajua sababu za lisu kuwindwa na gari hili
9. Mpiga risasi wa T 460 CQV ana taaluma ya ujeshi. Japo hakutumia execution style
10. Gari T 460 CQV inawezekana isije kuonekana tena machoni mwa watu hata taarifa zake zisionekane tena TRA tena na tena
 
Back
Top Bottom