Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama mlijua mtachoka mlimshambulia ili iweje?Tumechoka Na mambo ya lissu leta hoja nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlijua mtachoka mlimshambulia ili iweje?Tumechoka Na mambo ya lissu leta hoja nyingine
Hahaha! Nia yake? Any amaze basi. The dead are dumbHatuna shida na gari tuna shida na muuaji ili atuambie nia yake ilikuwa ni nini??
Utasubiri weee mpk Bwana Yesu atarudi bado ukisubiri wakwambie Ltd Mungu atende muujiza wakeIts about time TRA waongelee hii gari ni ya nani
Kwani wewe huwezi kuleta?Tumechoka Na mambo ya lissu leta hoja nyingine
Kwani hawawezi kubadilisha gari?hiyo T460 CQV kwa mujibu wa video ya youtube ya tundu lisu ni toyota premio! na kwa mujibu wa gari ilomshambulia inasemekana kuwa nissan! magari mawili tofauti kabisa...na hiyo dhana ya gari la serikali, premio hazitumiwi na serikali mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
umechoka were nakushauri kalale. die ndio kwanza tunaliamsha dude.Tumechoka Na mambo ya lissu leta hoja nyingine
Boss kama hujui jambo kaa kimya hutaonekana mjinga. Serikali inatumia gari aina zooooooot. Ina hadi vits, suzuki kei hadi baiskeli. Huijui serikali ndio maana unasema hivyo. Hadi guta mkuu serikali inatumiahiyo T460 CQV kwa mujibu wa video ya youtube ya tundu lisu ni toyota premio! na kwa mujibu wa gari ilomshambulia inasemekana kuwa nissan! magari mawili tofauti kabisa...na hiyo dhana ya gari la serikali, premio hazitumiwi na serikali mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini wataalamu Wa Nje wanaweza kutusaidia kwenye hili maana satellite huwa zzinachukua Picha za popote paleBila ya kulipata gari huwezi kumpata muuaji!