Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Kwa nini tunajadili hili gari wakati tukio tayari limetokea ambapo prospected marehemu alishaliongelea na hatukulitilia maanani?

Sasa hivi tuangalie mbele siyo nyuma, if lissu survived who is next or what comes next
 
hiyo T460 CQV kwa mujibu wa video ya youtube ya tundu lisu ni toyota premio! na kwa mujibu wa gari ilomshambulia inasemekana kuwa nissan! magari mawili tofauti kabisa...na hiyo dhana ya gari la serikali, premio hazitumiwi na serikali mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alisema hiyo gari ni Toyota Premio. Leo gari imegeuka na kuwa Nissan Patrol nyeupe.
Hongera kwa kuanzisha uzi
 
Haya ni mambo unayoyafikiria au uliyoambiwa na Mange?
 
hiyo T460 CQV kwa mujibu wa video ya youtube ya tundu lisu ni toyota premio! na kwa mujibu wa gari ilomshambulia inasemekana kuwa nissan! magari mawili tofauti kabisa...na hiyo dhana ya gari la serikali, premio hazitumiwi na serikali mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss kama hujui jambo kaa kimya hutaonekana mjinga. Serikali inatumia gari aina zooooooot. Ina hadi vits, suzuki kei hadi baiskeli. Huijui serikali ndio maana unasema hivyo. Hadi guta mkuu serikali inatumia
 
Back
Top Bottom