Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Watu wanaotaka tuamini tofauti na tunavyoamini basi wajue kuwa hatutawaamini!!

Wao ndiyo walitaka Lissu Afe na sasa wanatafuta Mbuzi wa kumtoa kafara!
Wapo busy kumbambikia kesi dereva wa Lisu ili kuficha uovu wao.
 
!
!
Mpumzike kwa Amani wote ambao Mna Imani watu wasiojulikana watapatikana
Lisu akirejea atafanyiwa kisomo kikubwa na viongozi wa Dini toka pemba na kwingineko nchini hao watu wasiojulikana watajikuta wanaropoka na kujulikana wote.
 
Boss kama hujui jambo kaa kimya hutaonekana mjinga. Serikali inatumia gari aina zooooooot. Ina hadi vits, suzuki kei hadi baiskeli. Huijui serikali ndio maana unasema hivyo. Hadi guta mkuu serikali inatumia
Kweli kabisa mkuu
 
Tumechoka Na mambo ya lissu leta hoja nyingine
Boya...!!
Kwani lazima uzi unaomuhusu Lisu uufungue?
Na kama umechoka kuzisikia basi wala jf na kwenye social media nyingine usiingie!
Pmbv kabisa wewe...tena zwazwa nyok....
 
Haiwezekani watu waanze kumfuatilia Lissu kwa ajili ya kumuua wakati wanajua huwa anafuatiliwa na gari yenye namba T 460 CQV ambayo pengine ni ya watu wa usalama. Kwa vyovyote vile hao wasiojulikana waliokuwa kwenye nissan wana uhusiano na wamiliki wa T 460 CQV. Ili kupoteza ushahidi siku ya tukio waliamua kutumua gari lingine.
Wamiliki wa hiyo toyota premio T 460 CQV wapatikane na wahojiwe, kama serikali haitaki kuwataja basi inahusika na jaribio la kumuua Lissu.
 
Hii gari imekuwa maarufu ghafla na ndio inayosemekana ilishiriki katika jaribio la kumtoa uhai Mwanasheria Tundu lisu, T 465 CQV nina mambo 10 yanayonijia kichwani haya hapa

1. Nape anafahamu kuwa gari ili linatumiwa na watu waliomsababisha kufukukuzwa kazi why kwa sabababu luliwahi kumfuatilia.
2. Inawezekana Gari hii ina namba mbili yaani moja ina usajili wa SU (serikali) na nyingine ina usajili wa T( watu binafsi) .
3. Inawezekana Baadhi ya vigogo wa TRA wanalifahamu gari hili
4. Magari aina ya Nissan yenye rangi nyeupe wanatumia sana watu wa usalama nenda hata kesho kwenye maofisi ya watu wa usalama wilayani na mikoani utayaona.
5. Inawezekana Tundu lissu ana information zote za hili gari kwa maana naamini alishawahi kulichunguza kwakuwa alikuwa akifuatiliwa so akiongea tutajua zaidi
6. Inawezekana anayosema mange kuwa usajili wa gari hili taarifa zake sasa ziko protected na wafanyakazi wa kawaida wa tra hawawezi kuaccess info zake
7. Inawezekana kuna connection Kubwa kati ya Mkuu wa mkoa(SIRI) na hili gari
8. Asilimia 90 ya watanzania wanajua sababu za lisu kuwindwa na gari hili
9. Mpiga risasi wa T 460 CQV ana taaluma ya ujeshi. Japo hakutumia execution style
10. Gari T 460 CQV inawezekana isije kuonekana tena machoni mwa watu hata taarifa zake zisionekane tena TRA tena na tena

So kwa akili yako. Ipi rahisi. Kuweka plate namba ili ufanikishe ajenda yako. Au kwenda na gari ambalo utajua utajulikana .mbona mna dharau sana lakini ndo umefikiria snaa hapo. Hivi mnafikiria Serikali yetu iko zembe kiasi hicho. Lisu badala ya kwenda polisi alikuj kwa waandishi. Then intellegencia ya tz ikamkung'ute risasi hadharani na gari La Serikali ili watu waone. Ndo akili yako kweli. TZ ni wasanii na nahisi mnaelewa kama wasanii. Ila Kama mnaamini kabisa katika hizi hoja basi mmelogwa au cha Arusha kinahusika.
 
Boss kama hujui jambo kaa kimya hutaonekana mjinga. Serikali inatumia gari aina zooooooot. Ina hadi vits, suzuki kei hadi baiskeli. Huijui serikali ndio maana unasema hivyo. Hadi guta mkuu serikali inatumia
Hadi boxer na bajaj pia inatumia
 
Kuna aliyeripoti polisi juu ya hayo umebwabwaja humu!?

cocochanel,
Swali lako ni la kipumbaf unless na wewe uwe unaishi kwenye hiyo dunia ya WASIOJULIKANA...!!
Mhe. Lissu alishatoa taarifa hiyo kupitia MEDIA akitoa wito kwa IGP Ziro awaambie watu wake (Polisi,TISS etc)anaowatuma kumfuatilia TL wenye gari aina ya Toyota Premio T460 ACQ waache.....! Lakini pia CHADEMA kama chama walishaa andika BARUA RASMI ya kumtaarifu IGP Ziro kuhusu watu wanaotaka kumwua Lissu lakini mpaka juzi TL anamiminiwa risasi IGP Ziro alikuwa anajifanya hamnazo kama vile hajui lolote........!!!Huu ni unafiki wa kipuuzi na kuna siku maovu haya yatakuja kuwagharimu viongozi kama Kamanda Ziro.
 
Bingwa mmoja wa masuala ya saikolojia anasema ukitaka kujua ukweli wa hisia za mtu (iwe kama anasema ukweli, uongo au anaunga mkono jambo au haliungi mkono au kuna siri anaijua katika jambo) hata kama yeye anajifanya yuko "neutral" soma maandishi na matamko yake.

Nadharia hii itatusaidia sana kuwajua "WATU WASIOJULIKANA" waliomjeruhi Lissu.

Lakini ukimsikiliza Mbunge Kubenea tu na wafuasi wengine wa Chadema hasa wale wanaojulikana kupokea maagizo kutoka kwa viongozi wajuu na kusoma maandishi yao utabaini mengi katika simulizi hii ya huzuni utabaini pia kuna kundi jipya nitaliita "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA"

Kama mtafiti ngoja nikamilishe utafiti kwanza wa kusoma wanayoyaandika yote mpaka wiki hii kisha nitakwambia, kwa kutumia nadharia ya fremu, tutahitimisha pamoja kuona kati ya WATU WASIOJULIKANA na WATU WASIOTAKA KUJULIKANA nani wamehusika kumdhuru Lissu?

Political Jurist, UDOM.
 
Back
Top Bottom