Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Eeeh jaman njoon huku wamegundulika watu wengine watu wasiotaka kujulikana

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Jerry Muro ana taarifa za aina ya uuaji unaofanywa na serikali, anaweza kusaidia pia
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.

4. Zaidi
i. kupeleleza na kutathmini iwapo kuna uhusiano baina ya tukio la Spika wa Bunge kukabidhi ripoti za miendendo ya uchimbaji na biashara za almasi na tanzanite na tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi.
 
Swali lako la 3...

Roman iii na iv ... Unajua mpaka sasa nani anatibia matibabu ya Lissu kama unajua basi huna haja ya kuhoji kuhusu dreva.... maana Uhai wa mtu haufananishwi na gharama yoyote ile.....

Kuhusu Mamlaka gani hayo yote yanini mkuu we Pambana na Hali yako tuuh na acha Umbea
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi na ilitolewa na mamlaka gani.
acheni kutuzubaisha,kongoni ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wasiojulikana //tehteh..CCM wapuuzi sana...mnataka kumuua lisu alafu mnaleta ngonjera hapa
 
Umeenda mbali kote huko walinzi wa naibu spika walikuwa wapi je picha za satelite kwa eneo hilo na kwa muda huo zinasemaje hapo jirani hakuna wenye CCTV hizo dvr zimeonyesha nini
 
na ikiwezekana polisi nao waulizwe kwa nini wamekamata magari manane na watu kama walivyotutangazia wasifuate huo ushauri wako maana wewe unajua zaidi ya polisi
 
Acheni useenge nyie, Tundu Lisu ( LLB udsm, LLM warwick ) amekua akifatiliwa toka yupo Dar na taarifa alitoa... alafu hapa unajiulizisha maswali huku una majibu... falaaaa kabisa wewe
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi na ilitolewa na mamlaka gani.
Bwana ndugu, haya ni maswali mepesi sana katika wigo wa kijasusi, labda kama waliofanya ujasusi huu ni watoto kama yule mtekaji wa arusha, lakini kama ni watu waliobobea wenye kujua nini wanafanya, katika maswali yako bado hautapata jibu. Pia kunauwezekano wa kijasusi wa kufanya tukio kama hili kisha kutengeneza mazingira ya ambayo yatafanya maswali yako majibu yake yakapeleka kwa mtu mwingine asiye husika kabisa. Kuhusu aina ya gari na namba reg ya gari bado hapo hakuna kitu maana wanaweza kuiba gari wakafanyia kazi kisha kulitelekeza, kuhusu simu wanaweza kutumia namba ya mtu wakafanyia mawasiliano bila ya mwenye namba kujua.
 
Ninakushauri uongeze maswali yako na kuyaadress kwa wapelelezo siyo kwa mleta uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakushauri uongeze maswali yako na kuyaadress kwa wapelelezo siyo kwa mleta uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wapelelezi ndo wameanzisha huu uzi? kwanini hujamwambia mleta uzi kuwa maswali yake ange wa PM wapelelezi? yamekuja hapa yajibiwe sio ku like tu lazivyo angepeka kule kwenye mambo yetu ya ku like.
 
Umeenda mbali kote huko walinzi wa naibu spika walikuwa wapi je picha za satelite kwa eneo hilo na kwa muda huo zinasemaje hapo jirani hakuna wenye CCTV hizo dvr zimeonyesha nini
Lifanye hili kuwa swali na kuelekezwa kwa wapelelezi
 
Eti unajiita GT !!!.Kuna vitu viko hadharani wewe unaweka crue za hovyo hapa.Lissu aliwahi kutoa taarifa ya kufuatiliwa na gari na akataja wanaomfuatilia ni kina nani na gari lao akalitaja kwanini huo uchunguzi wako husianzie hapo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,

Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na mazungumzo katika hatua ya pili. Hii ni hatua muhimu ya kusaidia kuibua hoja/clue ya kusaidia/kuwezesha vyombo vya dola/upelelezi kufuatilia tukio husika kwa ufanisi.

Tunapendekeza GT wenye hoja/clue musharabu zinazoweza kusaidia upepelezi wa sakata la Tundu Lissu waziweke hapa bila mawaa wala matusi na kukashifiana. Tunaomba JF Moderator(s) kutounganisha uzi huu na nyuzi nyingine. Aidha tunawapa mandate ya kuondoa/kufuta comments zozote zinazojikita kutukana, kukejeli au kutuhumu yeyote bila ushahidi wowote.

Kwa kuanzia, katika upelelezi tunapendekeza wapelelezi kuzingatia haya

1. [Kwamba Mbowe alikuwa mtu wa mwisho kukutana na Tundu Lissu kabla ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, maana walipatachakua cha mchana pamoja]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Mahali ambapo Lissu na Mbowe walikula chakula cha mchana siku hiyo.

ii. Baada ya kuachana Mbowe aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iii. Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

iv. Dreva wa Lissu aliongea na nani na aliongea nini kwenye simu yake.

v. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasa na alimtaarifu nani.

vi. Mtu wa kwanza kutoa taarifa za Tundu Lissu kupigwa risasi kwa umma (vyombo vya habari, mitandao ya kijamii).

2. [Kwamba dreva wa Tundu Lissu aliona na kuonya kuwa kulikuwa na gari likiwatuatilia, kisha kumuonya Lissu asitoke kwenye gari]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva alijuaje kuwa kulikuwa na gari likiwafuatilia (ikiashiria hali ya shari/hatari).

ii. Dreva aeleze iwapo hilo gari analiweza kulielewa, analikumbuka na iwapo anaweza kutambua specific features (make, rangi, namba za usajili na feature nyingine kama ipo).

iii. Wakati washambuliaji wakipiga risasi gari la Lissu dreva alikuwa wapi; alijificha/alikimbia.

iv. Dreva alifanya kitendo gani kwanza, mara baada ya kufanya uhalifu huo; kama alipiga simu kutoa taarifa alimpigia nani na alisema maneno gani, na kama alianza kum-attend Lissu kwa kumpatia huduma ya kwanza, alifanya kitendo gani.

3. [Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe (10/09), dreva wa Lissu naye yuko Nairobi akipata matibabu kumwondolea trauma]. Tunapendekeza upelelezi usaidie kupata na kutathmini taarifa zifuatazo;

i. Dreva wa Lissu alikwenda Nairobi lini na alitumia usafiri gani.

ii. Anapata matibabu hayo katika hospitali gani na kwa utaratibu gani.

iii. Nani anagharimia matibatu hayo na kwa nini,

iv. Iwapo dreva ana- referral ya matibabu yake kufanyika Nairobi, ilitolewa na mamlaka gani na lini.
swala jengine bashite alikwenda Dodoma kufanya nini na alifikia wapi na alionana na kina nani.
 
Back
Top Bottom