Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Hi ni kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe jana, Sept. 10Ni nani aliyekuambia Dereva anaumwa Trauma? unajua Trauma ni ugonjwa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi ni kwa mujibu wa taarifa ya Mbowe jana, Sept. 10Ni nani aliyekuambia Dereva anaumwa Trauma? unajua Trauma ni ugonjwa gani?
Mkuu labda niulize,ina maana ili ufike kwa Tundu Lisu ni lazima upitie kwa Naibu spika?mbona kuna taarifa kuwa zile plate number za gari zinajulikana,hilo la Tundu ili afike kwake ni lazima apite kwa naibu spika linahitaji majibu na ikibidi picha sidhani kama kuna uhakika,ktk hii inshu ni lazima tuwe wasikivu na wadadisi sana[HASHTAG]#ButWhatDoIKnow[/HASHTAG]
1. Nyumba ya Tundu Lissu pale area D ipo pembeni, karibu sana na nyumba ya Naibu Spika wa bunge.., Je, hawa watu waliweza vipi kufunguliwa geti kuingia na kutoka ASAP baada ya tukio?
2. Walinzi wa Nyumba ya Naibu Spika wa bunge, Je, hawakusikia milio ya risasi zaidi ya 32 na hata kuimarisha ulinzi mara moja? Ikawa vipi watu hawa wakapita getini tena baada ya shambulizi!?
3. Labda Tundu Lissu aliamini usalama wake ni kwenda area D (sensitive restricted area), Je, hawa watu (wahalifu) walionesha vitambulisho hadi kufunguliwa lango wakati wa kutoka—kuingia?
4. Gari iliyozibwa namba za usajili (plate number), inaruhusiwa vipi kupita kwenye lango lenye ulinzi wa polisi kwenda kwa
Naibu Spika wa bunge? ningependa kufahamu walieleza nini hadi kuruhusiwa kuingia ndani ya lane..
5. Tundu Lissu (labda) alifikiri sehemu salama ni kwenda eneo hilo (area D), ghafla kutahamaki, Nissan Patrol imeruhusiwa kupita Langoni kama kawaida, waliruhusiwa vipi watu wale?
6. Tundu Lissu asingeweza kushuka kwenye gari lake baada ya Nissan Patrol kuegesha pembeni yake (upande wake), tena kwa kuruhusiwa kupita Langoni., baada ya tukio, hawa watu waliondoka vipi hata baada ya milio ya risasi?
7. Je, wahalifu hao walikuwa na bunduki zenye viambata vya kuzuia sauti za risasi 'silencer' hata walinzi wasiweze kusikia mirindimo ya risasi zaidi ya 38, najaribu kujiuliza bila kupata majibu.
8. Kwa umakini wa Tundu Lissu, nataka kujaribu kuamini kwamba atakuwa lazima aliwasiliana na watu kadhaa (wa karibu) kutoa taarifa kuhusu kufuatiliwa na gari hilo, Nissan Patrol kutoka bungeni..
Anyways.., nilikuwa najaribu kujiuliza Maswali bila majibu, Tundu Lissu and his burden driver, survived the fraught skirmish (death—match) to tell tale, atatueleza ukweli wote kiumbe huyu... Let's Wait!
————————————
[emoji767]..., MMM
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP Sirro mbona ameshaweka bayana kwamba Lissu hakuwahi kutoa taarifa za kufuatiliwa katika kituo chochote cha Polisi isipokuwa amekuwa akisikika kwenye majukwaa ya siasa akilalamika kutishiwa maisha na kufuatiliwa na watu. Kwa mujibu Wa IGP Tundu ni mwanasheria haki zake anazijua pale inapotokea kuwa ametishiwa maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walaaniwe kabisa, amenYangu mawili nayatoa moyoni kwa uchungu.
1.kwanza kabisa mweshimiwa Tundu Antipas Lissu mpnz mzalendo anaetetea haki za nchi na wanyonge mzalendo wa kweli wasamehe hao watu kama alivyofanya papa paul wa2 kwa aliempiga risasi alimsamehe nchi na sheria wakashugulika nae.
2. Baba lissu licha ya kuwa wewe utawasamehe kwa moyo moja sisi watanzania na walimwengu wote walioguzwa na kitendo cha lissu kupigwa risasi naomba tulaani wahusika na kisasi chao mpaka pale aliefanya hivo ataenda kumupigia magoti na kuomba msamaha bila hivo walaniwe na vizazi vyao vyote.
Kama umeguzwa comment neno walaniwe.
Sent using Jamii Forums mobile app