Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

[HASHTAG]#ButWhatDoIKnow[/HASHTAG]

1. Nyumba ya Tundu Lissu pale area D ipo pembeni, karibu sana na nyumba ya Naibu Spika wa bunge.., Je, hawa watu waliweza vipi kufunguliwa geti kuingia na kutoka ASAP baada ya tukio?

2. Walinzi wa Nyumba ya Naibu Spika wa bunge, Je, hawakusikia milio ya risasi zaidi ya 32 na hata kuimarisha ulinzi mara moja? Ikawa vipi watu hawa wakapita getini tena baada ya shambulizi!?

3. Labda Tundu Lissu aliamini usalama wake ni kwenda area D (sensitive restricted area), Je, hawa watu (wahalifu) walionesha vitambulisho hadi kufunguliwa lango wakati wa kutoka—kuingia?

4. Gari iliyozibwa namba za usajili (plate number), inaruhusiwa vipi kupita kwenye lango lenye ulinzi wa polisi kwenda kwa
Naibu Spika wa bunge? ningependa kufahamu walieleza nini hadi kuruhusiwa kuingia ndani ya lane..

5. Tundu Lissu (labda) alifikiri sehemu salama ni kwenda eneo hilo (area D), ghafla kutahamaki, Nissan Patrol imeruhusiwa kupita Langoni kama kawaida, waliruhusiwa vipi watu wale?

6. Tundu Lissu asingeweza kushuka kwenye gari lake baada ya Nissan Patrol kuegesha pembeni yake (upande wake), tena kwa kuruhusiwa kupita Langoni., baada ya tukio, hawa watu waliondoka vipi hata baada ya milio ya risasi?

7. Je, wahalifu hao walikuwa na bunduki zenye viambata vya kuzuia sauti za risasi 'silencer' hata walinzi wasiweze kusikia mirindimo ya risasi zaidi ya 38, najaribu kujiuliza bila kupata majibu.

8. Kwa umakini wa Tundu Lissu, nataka kujaribu kuamini kwamba atakuwa lazima aliwasiliana na watu kadhaa (wa karibu) kutoa taarifa kuhusu kufuatiliwa na gari hilo, Nissan Patrol kutoka bungeni..

Anyways.., nilikuwa najaribu kujiuliza Maswali bila majibu, Tundu Lissu and his burden driver, survived the fraught skirmish (death—match) to tell tale, atatueleza ukweli wote kiumbe huyu... Let's Wait!
————————————

[emoji767]..., MMM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda niulize,ina maana ili ufike kwa Tundu Lisu ni lazima upitie kwa Naibu spika?mbona kuna taarifa kuwa zile plate number za gari zinajulikana,hilo la Tundu ili afike kwake ni lazima apite kwa naibu spika linahitaji majibu na ikibidi picha sidhani kama kuna uhakika,ktk hii inshu ni lazima tuwe wasikivu na wadadisi sana
 
IGP Sirro mbona ameshaweka bayana kwamba Lissu hakuwahi kutoa taarifa za kufuatiliwa katika kituo chochote cha Polisi isipokuwa amekuwa akisikika kwenye majukwaa ya siasa akilalamika kutishiwa maisha na kufuatiliwa na watu. Kwa mujibu Wa IGP Tundu ni mwanasheria haki zake anazijua pale inapotokea kuwa ametishiwa maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanapomkamata kila siku kwa maneno na kauli zake nani huwa anakwenda kutoa ripoti kwao?
 
Yangu mawili nayatoa moyoni kwa uchungu.
1.kwanza kabisa mweshimiwa Tundu Antipas Lissu mpnz mzalendo anaetetea haki za nchi na wanyonge mzalendo wa kweli wasamehe hao watu kama alivyofanya papa paul wa2 kwa aliempiga risasi alimsamehe nchi na sheria wakashugulika nae.

2. Baba lissu licha ya kuwa wewe utawasamehe kwa moyo moja sisi watanzania na walimwengu wote walioguzwa na kitendo cha lissu kupigwa risasi naomba tulaani wahusika na kisasi chao mpaka pale aliefanya hivo ataenda kumupigia magoti na kuomba msamaha bila hivo walaniwe na vizazi vyao vyote.

Kama umeguzwa comment neno walaniwe.

Walaaniwe kabisa, amen
 
Amelaaniwa mtu alaanie na watu wote waseme amen, hivyo msilaani mtu mtalaaniwa.Kisasi ni cha Mungu kikubwa tumuombee apone na Mungu awasamehe wote waliotenda udhilimu huu. Kama aishivyo Mungu wa Ibrahimu na Israel Naamini hakuna jiwe litakalo salia kila kitu kitakuwa wazi na watanzania watawajua watesi wa Lisu. Mungu ibariki Tanzania simama mwenyewe bwana juu ya uovu huu wa umwagaji damu unavyolinajisi taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JESHI LA POLISI LISHIRIKIANE NA TCRA KUWABAINI WAHALIFU HAO, Kwanza, Wafuatilie Simu iliyokuwa karibu Yake zaidi alipokuwa njiani, Pili, Kwenye eneo LA TUKIO, Je Simu ile iliyokuwa karibu kabisa wakiwa njiani na ndiyo ambayo pia inasoma karibu kabisa. kwenye eneo ambalo MHE. Lisu alijeruhiwa? UKIKUTA SIMU HIYO HIYO,HIZOHIZO MHE. LISU NA DEREVA WAKE NDIZO ZILIZOKUWA KARIBU YAO, NA NDIZO HIZOHIZO ZILISOMA KARIBU YAO KWENYE ENEO LA TUKIO NA MUDA, SAA,DAKIKA ZA TUKIO NI ULE ULE.HAO NI WATUHUMIWA NAMBA MOJA, TATA, wakitoka hapo Polisi ikague kamera zote za majirani wa lisu ili kubaini Gari lililiotoka muda huo ili wapate Namba za Gari, Au kuwaona wahusika kwa sura zao. Kisha iwe rahisi katika ukamataji wao.
 
Katika andiko langu la awali nilizungumzia nadharia ya fremu (framing theory) na jinsi inavyoweza kutusaidia kuwajua "WATU WASIOJULIKANA" katika shambulizi la risasi dhidi ya Mbunge Lissu.

Nilisema ukitaka kujua hisia za mtu, mrengo wake na anachowaza basi soma maandishi yake.

Moja ya swali kuu leo ambalo nadharia ya fremu inatusaidia ni kujua ni nani waliohusika na shambulizi dhidi ya Lissu.

Uchambuzi, michango mingi na hata maandishi katika magazeti mengi makubwa nchini, yakitazamwa katika nadharia ya fremu, vinaibua kundi jipya linaloweza kutusaidia katika sakata hili la Lissu ambalo nitaliita tu la "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA."

Ukitaka kuwajua "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA" na uhusika wao ktk kumdhuru Lissu soma post za mwanzo tu za vijana wa Chadema waliorusha picha zinazodaiwa kuwa za Lissu na nyingine Mbowe akiwa hospitali.Picha zile 2 alipiga nani?Kwa nini mpigani alipiga picha 2 tu?Au kama alipiga nyingi kwa nini alisambaza picha 2 tu? Hapa kuna "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA."

Ukisoma magazeti ya Tanzania Daima na MwanaHalisi ya leo utakutana na simulizi nyingi baadhi zikimkariri hata Lissu akiwa hoi ICU eti akieleza kuwajua "WATU WASIOJULIKANA."

Ukisoma magazeti hayo utakubaliana nami kuwa kwanza kuna "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA" wanaomsemea Lissu kila siku.

Lakini pia ukitumia nadharia ya fremu utabaini kuwa vyombo hivi vinavyojinasibu na uchambuzi na uchunguzi ghafla kwa sasa vinaonekana kupewa taarifa za kuokoteza na "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA" ambao wanaonekana wako Nairobi ama Lissu akiwa anawajua au hawajui.

Ni watu hawa "WASIOTAKA KUJULIKANA" ambao wanapenyeza habari nyingi kuhusu Lissu na bahati mbaya au nzuri nadharia ya fremu inatuonesha dhahiri walikuwepo Dodoma Lissu akiwa hoi anaugulia maumivu ya risasi mwilini na sasa wako naye Nairobi akiuguza majeraha ya risasi zilizotolewa.

Je nadharia ya fremu inatuambia nini zaidi kuhusu watu hawa "WASIOTAKA KUJULIKANA" waliotufanya tuhangaike na "WATU WASIOJULIKANA" ktk sakata hili la Lissu?

Endelea kufuatana nami hatua kwa hatua na nadharia ya fremu.

Episode ijayo tutaeleza Je, Kubenea anajua nini kuhusu "WATU WASIOTAKA KUJULIKANA," na kwa nini anachokijua ni muhimu katika sakata hili?

Usikose

Political Jurist, UDOM.
 
Hata Jana kuna watu wasiojulikana walivamia kibanda cha JIRANI yetu...taarifa hizi tuliletewa na watu wasiotaka kujulikana..
Mkuu

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Sikujua hii nchi imejaliwa watu wenye ubobezi na uwezo wa hali ya juu kwenye tasnia ya ujasusi na upelelezi hadi lilipotokea tukio la kushambuliwa kwa Mbunge.
 
Swali la msingi kabisa kwa upande wangu..

Je wewe mleta Uzi unasimama upande upi/gani...!?

Huu wa watu Wasio julikana...ama wale watu wasio taka kujulikana...!!

Fumbo mfungie/mfumbie mjinga...acha kutafuta kiki za kijinga...!!

Malizia Uzi wako, ili nasi tukujibu kupitia (full pictured theory) ..

Kutumia Avatar ya Hitler, na hilo jina Bandia, naweza kukusoma wewe ni mtu wa namna gani.

Wacha kupiga Mayowe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika matukio kama haya, kuna dhana nyingi ambazo zitasemwa na kuhitajika! Cha msingi ni kufanikiwa kubaini hao watu na hatimaye kuonesha dunia kwamba tunao uwezo na hatimaye wapelekwe kwenye vyombo vya sheria kwa hatua stahiki. Kukataa dhana ya mwenzio ni mmoja ya njia za kuzuia mbinu za kuwabaini waovu hawa!
Tafakari!
 
Back
Top Bottom