Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
[/QUOTE
Hapana Mkuu mikusanyiko inayokubalika kwa sasa ni sokoni,kanisani,misikitini,maombezi ,minada hii mingine ya Wanasoasa wa upande wa pili itatuleta Kakorona ....wazuiwe tu!Hawa Polisi kuna nyakati wanafanya mambo yanayomdhalilisha Mkuu Wa nchi..
Kwani Wakiacha aongee na Wanahabari kuna mtu atakufa?
Huko CCP huwa wanakwenda kusomea Ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa haijawahi kusimama kokote duniani!Siasa ni maisha yetu ya kila siku!Hata alichokifanya waziri mkuu leo ni siasa!Utakuwa hujui maana ya siasa,jinga kabisa wewe!Nimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.
Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanayofanywa na polisi ndio yanayodefine ubaya wa magu aonekane shetani.Kwani pamoja na Yeye kuwa Mpinzani akiongelea yahusuyo COVID-19 hawezi kuwa Msaada Kwako, Kwangu na kwa Wengine?
Hawanitawali, siishi kwenye hilo Taifa linasomekana kubarikiwa vitu vingi sana kuliko mataifa mengine cha ajabu umasikini lilionao hauelezeki kwa maandiko.Hivi na nyie mnaotawaliwa na hao unaowaita mataahira baada ya kushindwa kuchimoa hapo mnaitwaje?
Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates - JamiiForumsTaarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.
Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.
Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.
Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sidhani kuna ibada pale. Yale ni maonesho ya kuomba.Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.
Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.
Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.
Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.
Maendeleo hayana vyama!
Ila CCM tunavyowaogopa Chadema hadi aibu naona mimi mwana CCM!Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Lengo ni mashindano au kuonyeshana ubabe au agenda yako iwafikie walengwa?Hayo ya youtube Kasimu Majaliwa hakuyaona ?
Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?Mnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka yeyote, baba yako na mama yako mzazi ndiyo wapumbavu, walikosaje kuvaa kondomu ili mpumbavu kama wewe usizaliwe???Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyo kawaida yake kuropoka. Hawezi kukujibu.hebu fafanua, tatizo liko wapi?