Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
[/QUOTE
Hawa Polisi kuna nyakati wanafanya mambo yanayomdhalilisha Mkuu Wa nchi..

Kwani Wakiacha aongee na Wanahabari kuna mtu atakufa?

Huko CCP huwa wanakwenda kusomea Ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu mikusanyiko inayokubalika kwa sasa ni sokoni,kanisani,misikitini,maombezi ,minada hii mingine ya Wanasoasa wa upande wa pili itatuleta Kakorona ....wazuiwe tu!
 
Nimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.

Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa haijawahi kusimama kokote duniani!Siasa ni maisha yetu ya kila siku!Hata alichokifanya waziri mkuu leo ni siasa!Utakuwa hujui maana ya siasa,jinga kabisa wewe!
 
Hivi na nyie mnaotawaliwa na hao unaowaita mataahira baada ya kushindwa kuchimoa hapo mnaitwaje?
Hawanitawali, siishi kwenye hilo Taifa linasomekana kubarikiwa vitu vingi sana kuliko mataifa mengine cha ajabu umasikini lilionao hauelezeki kwa maandiko.
 
Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.

Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.

Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.

Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates - JamiiForums
 
Karimjee: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19 - JamiiForums
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari

Sent from my iPhone using Tapatalk

Jr[emoji769]
 
Hiki chama kimefeli sana. ACT wazalendo ndiyo chama pekee cha upinzani chenye nguvu kumbwa nchini Tanzania.
 
Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.

Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.

Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.

Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.

Maendeleo hayana vyama!
Sidhani kuna ibada pale. Yale ni maonesho ya kuomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?

Onesheni mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?
Itakuwa akili yako ni chongo inayoona upande mmoja tu! Njoo diamond jubilee huku uone nyomi!
 
Washauri wa mwenyekiti wanafeli sana

Kwa hiyo waliamini kabisa kabisa kwamba wataruhusiwa? Huu nao ni upuuzi!

Hadi leo bado wanataka huruma ya wananchi? Najua kuna watu watabwatuka. Ila inabidi muelewe hata wakati wa kutafuta uhuru freedom fighters walilazimika kubadili mbinu pale mbinu za awali zilipofeli

Kila siku mkiandaa press inavamiwa? Plan B hamna!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom