Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
[/QUOTE
Hapana Mkuu mikusanyiko inayokubalika kwa sasa ni sokoni,kanisani,misikitini,maombezi ,minada hii mingine ya Wanasoasa wa upande wa pili itatuleta Kakorona ....wazuiwe tu!Hawa Polisi kuna nyakati wanafanya mambo yanayomdhalilisha Mkuu Wa nchi..
Kwani Wakiacha aongee na Wanahabari kuna mtu atakufa?
Huko CCP huwa wanakwenda kusomea Ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app