Sikusoma yote, Kuna sehemu wameeleza kama yule kada wa ccm aliyemtishia Dr Kitima kishakamatwa?Kibano cha Trump ndio kinawatowa mafichoni Policcm.
Hawa ndio wanaonufaika na safari za Marekani, Mtanzania wa kawaida wala hana haja na safari za Marekani.
Yale yamoootoo kabisa sijasikia yakitajwa ama hata endapo taarifa zake zipo.Hatari Sana
CCM wamechanganyikiwa sana kwa zile kauli zilizotolewa na waandamaji wakati wa mkutano wa chadema Dodoma mjini watu walikatiza.makao.makuu ya chama huku wakiimba ccm wauaji,ccm watekaji.Dah hivi polisi walikuwa wapi muda wote kutoa taarifa. Inasikitisha sana tena sana kushindwa kumsaidia Mh. rais
Binafsi naipa muda wa kuhakikiwa kuwa ni sahihi kabla sijasema kuhusiana na taarifa hii kulingana na matarajio yangu na ya mtanzania wa kawaida mwenye matarajio,chawa wa kiwa kando na hili,kwani wenyewe wamesha waelekeza watu fulani kibla hivi sasa ndio wana kumbuka kufurukuta.Taarifa hii ni sahihi? Nina mashaka sana
Lakini je,Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Hawawezi kueleweka bila kutoka taarifa kwa kina, mbona katika yooote hakuna ufafanuzi wa matukio ya kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kwenye maeneo yanayolindwa vikali na jeshi la polisi, hakuna ufafanuzi wa mauaji ya Mzee Ally Kibao, aliyeteremshwa ndani ya basi na kukutwa akiwa ameuawa! Hakuna taarifa za dogo Chaula aliyechana picha ya Rais, hakuna ufafanuzi wa kutishiwa na hatimaye kupotea kwa Soka na wenzake, hakuna ufafanuzi wa kupotea kwa Ben Saanane, na walau hakuna ufafanuzi wa kutekwa, kuumizwa na hatimaye kupotezwa kwa Mdude Nyagali, wametolea taarifa zinazowapa nafuu Tu,lakini zenye taswira za uhusika wao hawajagusia kabisaaaaJeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Yaani.Maneno mengi na vifungu vya kufubaza akili za watu.Watanzania sio wajinga.
Watakuwa wanaomdai ni maofisa wa polisi na vijana wa uvccmEti Shekhe Zuberi Saidi Nkokoo alisingizia kutekwa ili akimbie maden anayodiwa na watu mbalimbali ya jumla ya shilingi 521, 500,000/= !!!!
Hata kama kweli ana madeni, ndio mnataka kutuaminisha hiyo ndio sababu?
Hao watu mbalimbali mnaosema wanamdai na mmehifadhi majina yao, kuna ubaya gani kuwataja kama mdaiwa mmemtaja?
Watanzania sio wajinga.
Policcm huwa hawana akili. Wivu wa mapenzi umempoteza mdude, soka, ven saanane nk wivu wa mapenzi umemuua mzee Kibao f@ck the policeJeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Kipanya - masoud au?Soka yuko wapi?
Mdude yuko wapi?
Kipanya yuko wapi?
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
here's an aphorism: "absence of evidence is not evidence of absence".
There's an aphorism: "Absence of evidence is not evidence of absence".Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.