Mmh!Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi wanafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za ibirisi wa ccmkuliamini jeshi la polisi unapaswa uwe mjinga sana
Kwasababu alijitekaEti Shekhe Zuberi Saidi Nkokoo alisingizia kutekwa ili akimbie maden anayodiwa na watu mbalimbali ya jumla ya shilingi 521, 500,000/= !!!!
Hata kama kweli ana madeni, ndio mnataka kutuaminisha hiyo ndio sababu?
Hao watu mbalimbali mnaosema wanamdai na mmehifadhi majina yao, kuna ubaya gani kuwataja kama mdaiwa mmemtaja?
Watanzania sio wajinga.
SENTENSI MOJA: SISI SIYO WAJINGA, IKITOKEA LA KUTOKEA, WATAJUA KUWA WATANANIA SIYO WAJINGA.Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Safi sana, taarifa yenye ukweli mchungu kwa wafuasi wa kichaa Lissu.Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Hatari sana mkuu!!Hapana anaitwa dioniz Kipanya
Taarifa imekaa ki bangi bangi tupu....na soniJeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi.
Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika kuwa amepotea rasmi baada ya miezi mitano kupita na mahakama kuthibitisha. Jeshi hilo limewahakikishia wananchi kuwa linachukua kwa uzito kila taarifa, huku likitoa wito kwa ndugu wa wahusika kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea.
Aidha, Polisi limeonya kuwa kusambaza taarifa za uongo ni kosa la jinai linaloweza kupelekea faini ya hadi milioni tano au kifungo cha miaka mitano.
Wanatuona mapoyoyoSijasoma yote, ila watwambie nani alimuua Mzee Ally Kibao!?,Mdude, Soka na wengine wako wapi!?, kwanini badala ya kumjibu Gwajima siku Ile wakafungia kanisa lake na leo wanakuja na maelezo kibao!?.. siku zote walikuwa wapi!?
Hatuwez kusahau.....Nimejutahidi kusoma ili nione taarifa za mzee kibao,mdude na wengine ambazo inaaminika waliuawa na polisi hawajazitaja kabisa.Hii inamaanisha wauaji ndiyo hao wanaotaka kutuhadaa ili maovu waliyoyafanya tuyasahau.
Kabisa....nyeusi tena iliyojikoroga ni ngumu kutoa nyeupeTangu siku RPC Muliro alipokana polisi kuwateka na kuwapiga viongozi na wanachama wa Chadema tarehe 24 April pale Mahakama ya Kisutu kisha kwenda kuwatupa kwenye mapori mbali mbali niliamua kudharau na kupuuza kila taarifa ya jeshi hilo.
Hakuna ukweli wowoteIle Siku moja naikumbuka zilikamatwa nyara za serikalini zikachukuliwa kwenye ndoo na kufungiwa ofisini kwa MKUU na watu BAADHI tuki shuhudia kwa karibu.
Baadae kwa kua ilikua usiku Wote tukawa tumeenda makwetu kulala Ile kesho asubuh wote kwa pamoja ikaletwa Ile ndoo mbele ikafunguliwa LAHAULA!!?
ILE NDOO IKAKUTWA INA KOTI NA MAJI NA SABUNI YA UNGA LIME LOWEKWA 😁😅🤣 WATU WAKAULIZANA APOSTLE NINI KIMETOKEA WOTEEEE TUKASEMA NI MUUJIZAAAA
SO KUNA WAKATI HIVI VYOMBO DOLA HUAMUA KUUKWEPESHA UKWELI KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFAA NAJUA KWENYE REPORT KUNA PROPAGANDA NA KUNA UONGO JAPO KUNA YENYE UKWELI.
naomba kuwasilisha.
Sasa hii haifutiki kwa ngonjera zao....yaan you cant fool people all the times...now we know....so waje waseme na wanaojua ndo tutawaelewa....kama wanafikir we still wapumbavu wanafeli pakubwaCCM wamechanganyikiwa sana kwa zile kauli zilizotolewa na waandamaji wakati wa mkutano wa chadema Dodoma mjini watu walikatiza.makao.makuu ya chama huku wakiimba ccm wauaji,ccm watekaji.
CCM wameikoromea sana Polisi kwa nini waliruhusu Yale maandamano hivyo wakagizwa wakisafishe chama na ndio maana Polisi wametoa hilo andiko pamoja na kuondolewa kwenye cheo RPC Dodoma