Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

Kwenye video walikuwa wangapi ? Naona kama idadi imezidi🐼
Hapo kuna mwenye tukio lake (obviously huyo someone Temba mwanamke) ambae alikuwa na conflicts anazozijua yeye na mtekwaji halafu kuna aliyepewa kazi ya kutafuta watekaji nae akaona ampe atakayekuwa na watu nje ya mkoa ili tukio likizungumzwa kwa picha ya wasiojulikana liwe rahisi kueleweka.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri...
Wala hawafanani na wale watekaji wa siku ile, bado mnatumia njia za hadaa kiwango hiki?
 
Jerry muro pingu alipata wapi?
Drama at its highest stage
Jeshi hili hili la polisi yaani tuanze kuliamini??
Pingu ni kifaa tu kaka, kwa wahalifu hata funguo zake wanazo, relaaax. Kukataa kila kitu bila kikielewa ni dalili nyingine ya usonji😄😄
 

Safi sana kazi nzuri [emoji1433][emoji1433]
Sasa tuone na waliomteka na kumuua Mzee Kibao mchana kweupe na kwenye umati wa watu.
Kamanda Mulilo tunagoja kwa hamu sana hiyo taarifa.
 
Mbona wajihi ya waliokuwa eneo la tukio haufanani na waliokamatwa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…