Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Kina nani?
Polisi wa nchi hii wakamate mtuhumiwa usiku huohuo wa tukio kama hili.
Unaamini kakamatwa mtuhumiwa kweli au mtaletewa kanyaboya tu kusafisha hali ya hewa!
 
Baada ya kikao kuisha saa 1 jioni Padre Kitima alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo usiku
Yaani Padre Kitima aliendelea kutandika pombe kuanzia saa moja hadi saa nne.na robo usiku

Sadaka za wakatoliki zinabomolewa hasa.
Hongereni wakatoliki watoa sadaka
 
Kuna mtu anawaamini hawa polisi?
 
M Mkuu tuwe na kiasi watu wana maisha yao mengine nje ya unayoyafahamu. Kama unapajua TEC ni vigumu stranger kufanya tukio kama hilo. Sio kila kitu kipo kama unavyofikiri.
 
Polisi wa nchi hii wakamate mtuhumiwa usiku huohuo wa tukio kama hili.

Unaamini kakamatwa mtuhumiwa kweli au mtaletewa kanyaboya tu kusafisha hali ya hewa!
Response yao ni kusafisha hali ya hewa mbona inafahamika tuu wasiojulikana na TISS na Police ccm yao...

Ni hadithi za Abunwasi zile zile kila siku sema washatuona hatuna la kuwafanya...

Wanatumia mgongo wa amani... Wanafanya fujo alafu wanakimbilia kusisitiza aman...

Mtu akihamasisha watu wakinukishe wanadai anataka kuvuruga aman ila kiuhalisia wao ndo wanavuruga aman kila siku...


Sema binafsi nishachoka kuota ndoto za Abunwasi nchi hii kwa ujinga tulionao tusahau kutoka hapa tulipo huu ndo ukwel
 
Mm nimewaambia na nawaambia tena na tena kwamba hakuna pahala popote mtu mwanamke alipewa kundi kuliongoza katika historia ya ulimwengu,wasio na akili wakakubali wakampa atuongoze,na wengine wakaja kutuambia eti tukaenda kwenye katiba tuone inasemaje Mabeho huyu mwanajeshi punda kabisa haya sasa nchi inavyoenda ndio sawa ww Mabeho kwa Akili zako mwanajeshi mzima unakosa ujasiri Alafu unajisifu.Nchi hii imeharibika vibaya sana kwa sababu ya Mabeho na ujinga wake,YESU hakuogopa kulaumiwa kwa sababu alijua anafanya kazi ya ukombozi wa kitaifa ww Mabeho uliogopa kulaumiwa kwa sababu hujitambui,mwanamke kamwe hawezi kuongozaaaaaa mbona mna Akili ngumu ya kuelewa.
 
M
Mkuu tuwe na kiasi watu wana maisha yao mengine nje ya unayoyafahamu. Kama unapajua TEC ni vigumu stranger kufanya tukio kama hilo. Sio kila kitu kipo kama unavyofikiri.
Kama ni mgeni wa siasa za Tanzania sawaa.. nitakubaliana na wewe


Ila kama unazijua siasa zilivyo basi ukwel ndo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…