Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Mbona huyo mtuhumiwa kapatikana haraka sana,michezo ya ccm polisi hiii.
Wewe huoni uzito wa tukio? Unaona Katibu wa TEC ni sawa na hayo matukio mengine? Uliambiwa baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alikimbia? Hujaona swala la kinywaji hapo? Shirikisha vidole na ubongo wako.
 
Circus
 
Dah

Aliingiaje kule mbona kuko safe sana
Pale usalama siyo mzuri watu wanaingia kirahisi sana. Ila mimi najiuliza tu.

1..Baada ya shambulio.wahalifu walipita wapi maana kutoka.canteen ya TEC mpaka.getini ni safari ndefu sana

2. Je.waliruka ukuta upande wa pili kutokea Drajani?.
 
Mmoja kakamatwa
 
Kama ni mgeni wa siasa za Tanzania sawaa.. nitakubaliana na wewe

Ila kama unazijua siasa zilivyo basi ukwel ndo huo
Mkuu sio kila kitu siasa na dini. Watu wanamaisha mengine nje ya vitu hivyo wiwili. Si sahihi kila kitu kiwe ni dini na siasa. Tatizo letu wengi tunapenda habari zinazozua taharuki sio kuwa objective. Katika dunia hii ielekeze akili yako iruhusu ukweli wowote sio uongo unaoutaka wewe
 
ABDUL NA ROSTAM NI HATARI KWA TAIFA ...NILIONYA KUHUSU WAISLAMU KUSHIKA UONGOZI WOWOTE WATU WAJINGA WA JF WAKAPINGA NA KUNIITA MJINGA ILA NAWAAPIA WATAKILI TU KUANZIA WAISLAMU WENYEWE HADI WAKRISTO HADI WAPAGANI WATAKUBALI KUWA MUISLAMU ASIWE KIONGOZI POPOTE TANZANIA AWEKWE KUNDI MOJA NA WANAWAKE ...NIKOSA KUMPA UONGOZI MWANAMKE HATA KWENYE FAMILIA.
 
Na huko kwenye Dini na kwenye mpira ndiyo kuna wajinga wengi wafuata mkumbo kisa Kiongozi wa Dini au mpira katoa tamko,hata kama hilo tamko ni la kijinga bado watalifuata!!
 
1..Baada ya shambulio.wahalifu walipita wapi maana kutoka.canteen ya TEC mpaka.getini ni safari ndefu sana

2. Je.waliruka ukuta upande wa pili kutokea Drajani?.
Halafu usiku saa nne na Robo .Padre anakuwa bado yuko bar analewa? Sio muda wa kuwa chumbani kwakehuo?

Na Raia kutoka nje wanakuwa ndani ya hiyo bar nao wakilewa? Muda huo?

Kuna maswali.mengi kuliko majibu
 
Kwisha habari ya awamu ya 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…