Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara ,wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake.Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda mrefu, lakini kukatokea ma kutoelewana na wenyeji wake wakiwemo wazazi na mashemeji kuhusuana na hilo.Mke wake huyo alikuwa yupo hapo Kwa muda mrefu tu kutokana na migogoro yao, so kutokana na Hilo akataka arudishiwe mahari au aondoke na mkewe wakaendelee na maisha.

Basi yakatokea mabishano pale, Kwa kuwa imeshindikana kupewa mke , jamaa akataka apewe mtoto wake lakini nalo likashindikana..ilikuwa. Mzozo mkubwa pale, jamaa mwisho wa siku akachachamaa anataka mtoto, ndugu za mke wakawa hawataki, tena mtoto yule akafungiwa chumbani
Jamaa akaamua kubeba mtoto yeyote aliyekuwa pale ambaye siyo Mwanae akaondoka naye akawaambia hatotoa mtoto Hadi apewe mtoto wake.

Basi jamaa akampeleka yule mtoto Kwa dada yake, alafu yeye akaenda kwake .

Huku Nyumba ndugu wa Ile familia ya mwanamke wakaenda kuripoti polisi kwamba mtoto wao ametekwa na mwizi wa watoto.
Lakini pia mashemeji na ndugu wakavamia nyumbani Kwa yule rafiki wakimfosi atoe mtoto, , jamaa naye akagoma akidai mtoto wake kwanza Ndo wapewe mtoto wao..mara polisi nao wakatia timu wakijua kweli ni mwizi wa watoto wakaanza kumshambuli jamaa Kwa mapanga, ndugu na mashemeji nao wakaanza kumshambulia jamaa pia, ila jamaa alikuwa amejipanga naye akapamba nao Hadi kumjerui polisi mmoja, na mke wake ambaye naye alikuwa eneo la tukio naye alichezea mapanga kadhaa. Basi jamaa alibaki peke yake ndani ya kundi la mapolisi na ndugu wa mke, wakamshambulia Hadi kufa..

Hadi Sasa polisi na mke bado wapo hospitali wamelazwa Kwa matibabu
Huyo jamaa yako atakuwa ni mwanaccm tu kwa akili hizo
 
Huyo jamaa inaonekana ni mgomvi sana, na inaelekea alikuwa anampiga sana huyo mkewe hadi akakimbia.

Kama anachukua mtoto si wake, huo ni utekaji.

Marehemu alizingua.
Poleni sana.
Ni kweli jamaa alikosea, lakini jamaa anaonekana alikuwa alikuwa amechoka, ni mpole sana, Yani mpole huwezi amini...inasemekana mke wake alikuwa mjeuri sana alafu jamaa hajui kujieleza
 
Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara ,wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake.Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda mrefu, lakini kukatokea na kutoelewana na wenyeji wake wakiwemo wazazi na mashemeji kuhusiana na hilo. Mke wake huyo alikuwa yupo hapo kwa muda mrefu tu kutokana na migogoro yao, so kutokana na hilo akataka arudishiwe mahari au aondoke na mkewe wakaendelee na maisha.

Basi yakatokea mabishano pale, Kwa kuwa imeshindikana kupewa mke , jamaa akataka apewe mtoto wake lakini nalo likashindikana, ilikuwa Mzozo mkubwa pale, jamaa mwisho wa siku akachachamaa anataka mtoto, ndugu wa mke wakawa hawataki, tena mtoto yule akafungiwa chumbani

Jamaa akaamua kubeba mtoto yeyote aliyekuwa pale ambaye siyo Mwanae akaondoka naye akawaambia hatotoa mtoto hadi apewe mtoto wake.

Basi jamaa akampeleka yule mtoto kwa dada yake, halafu yeye akaenda kwake .

Huku Nyuma ndugu wa ile familia ya mwanamke wakaenda kuripoti polisi kwamba mtoto wao ametekwa na mwizi wa watoto.

Lakini pia mashemeji na ndugu wakavamia nyumbani kwa yule rafiki wakimfosi atoe mtoto, , jamaa naye akagoma akidai mtoto wake kwanza ndo wapewe mtoto wao. Mara polisi nao wakatia timu wakijua kweli ni mwizi wa watoto wakaanza kumshambulia jamaa kwa mapanga, ndugu na mashemeji nao wakaanza kumshambulia jamaa pia, ila jamaa alikuwa amejipanga naye akapamba nao hadi kumjeruhi polisi mmoja, na mke wake ambaye naye alikuwa eneo la tukio naye alichezea mapanga kadhaa. Basi jamaa alibaki peke yake ndani ya kundi la mapolisi na ndugu wa mke, wakamshambulia hadi kufa.

Hadi Sasa polisi na mke bado wapo hospitali wamelazwa kwa matibabu
Hadi Sasa polisi na mke bado wapo hospitali wamelazwa kwa matibabu🥺🥺🥺
 
chai
 
Jamaa yako muache apumzike kwa amani.

1- Kwanza huwezi lazimisha mwanamke aende kwako utafikiri ni mzigo, ng'ombe au mbuzi, huyo mkewe alikuwa na maamuzi akatae au kukubali, sasa jamaa yako anamlazimisha ye kama nani?huoni huo ni unyanyasaji tayari?

2-Mtoto amekataliwa asichukue kwanini achukue mtoto wa mtu kinguvu?
Utakuta hata huyo mwanae aliyekuwa anamlazimisha kwenda nyumbani naye hakutaka...
 
Alikuwa anajilinda, yeye ndio alishambuliwa kwanza
Mi ninachoweza kushauri nyie vijana wa Tarime, acheni utemi usio kuwa na faida, dunia imebadilika, watu hivi sasa hawaogopi mapanga.

Mkoa wa Mara mna ka proud flani utasikia kijana anasema "mimi ndio mkurya".

Bro hizo zilipendwa, hivi sasa ukizingua watu wana deal na wewe perpendicular.
 
Jamaa yako muache apumzike kwa amani.

1- Kwanza huwezi lazimisha mwanamke aende kwako utafikiri ni mzigo, ng'ombe au mbuzi, huyo mkewe alikuwa na maamuzi akatae au kukubali, sasa jamaa yako anamlazimisha ye kama nani?huoni huo ni unyanyasaji tayari?

2-Mtoto amekataliwa asichukue kwanini achukue mtoto wa mtu kinguvu?
Utakuta hata huyo mwanae aliyekuwa anamlazimisha kwenda nyumbani naye hakutaka...
Kama hawataki ni haki yake kurudishiwa. Ng'ombe zake za mahari
 
Mambo mengine ni akili sio nguvu.

Hivi unaenda kuleta noma ukweni, ugenini ambako una uhasama nao na wako wengi na unatumia nguvu na sio busara..

Hilo la polisi umelichomekea ili jamaa yako aonekane ni msafi ila jamaa yako ndo alikua na shida upstairs.

Hata hiyo story pamoja na kuivuta saaaana upande wa rafiki yako bado rafiki yako hakujali usalama wake kabisa, sijui wewe ulikua wapi kumshauri.
 
Back
Top Bottom