Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Polisi ndio wapumbavu na ndio , walitakiwa kwenda kumaliza mgogoro sio kuongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikua anapambania bao lake alilolifunga kwa tabu na matesoYeye mwanamke Ndo alitakiwa akavunje ndoa mahakamani ili akakae home kihalali, Mahakama ikiona mwanamke hana sababu za msingi kisheria, inakataa ndoa kuvunjwa, ikiona ni sawa inavunja..Huwezi kukaa home kienyeji, unaonekana mwanamke wa kizaramu wewe , mnaachana kifala na ndio mana wengi wenu ni masingo Maza
Jamaa inaonekana alimjaza Mimba kwa tabu sana huyo MkuryaPolisi ndio wapumbavu na ndio , walitakiwa kwenda kumaliza mgogoro sio kuongeza
Jamaa yako ni mpumbavu.Jamaa akaamua kubeba mtoto yeyote aliyekuwa pale ambaye siyo Mwanae akaondoka naye akawaambia hatotoa mtoto hadi apewe mtoto wake
Polisi siku hizi wanapiga mapanga.No, mapanga
Wewe ukienda kupiga mbupu ukimwaga Wazungu kwenye condom hua unaondoka nayo au unamwachia?Polisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Mwambie ajibu swaliKosa lake ni kuchukua mtoto asiye wake, ila hakustahili kifo
Kama ujinga kwako ni ushujaa jiandae na wewe kuchinjwa kama mbuziJamaa ni shujaa Wewe ukienda kulala na naniu ukimaliza bao lako kwenye condom unamwachia au unaondoka na bao lako likiwa kwenye condom?
Bao lako unaliacha lizagaezagae au Wewe unamwagiwa humwagi?Kama ujinga kwako ni ushujaa jiandae na wewe kuchinjwa kama mbuzi
Acha ubishi, ni mapanga , Sio risasi , mi Ndo najuaPolisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Acha ubishi, haukuwepo eneo la tukioPolisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Kuwa makini kutukana tukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaakoBao lako unaliacha lizagaezagae au Wewe unamwagiwa humwagi?
Siungi mkono kuchukua mtoto wa watu, Wala fujo, ila marehemu alikuwa na haki zakeNdege wafananao huruka pamoja. Marehemu na mleta mada akili zenu zinashabihiana sawia, ni bahati tu na wewe hukuingia ama hukumsindikiza rafiki yako kufanya fujo na kuteka mtoto kwenye hilo sakata nawe ungekula mapanga
Angeeenda mahakamani kupata haki yake, alichofanya kosa la marehemu ni kujichukulia sheria mkononi, nao ndugu wa mwanamke wakajichukulia sheria mkononi,ngoma droo hiyo.Siungi mkono kuchukua mtoto wa watu, Wala fujo, ila marehemu alikuwa na haki zake
Kishabiki shabiki ni kweli mtamshambulia huyo jamaa aliye uliwa bila hatia, lakini niwaambie kweli dhamira ya huyo mwanamke na ndugu zake haito kaa iwe na amani siku zote za maisha yao hapa duniani na hasa ukizingatia waliye msababishia kifo ni baba wa mtoto aliye hai na walikuwa wakiujua ukweli wa tukio hilo hadi lilipo fikia.Huyo jamaa yako alikuwa ni mwehu. Huwezi ukaamia tu kubeba mtoto yoyote kisa wamekatalia mtoto wako ambaye hata hivyo yupo na mama yake. je, huyo mtoto yeyote aliyemchukua yeye ni mtoto wa mke wke? Huko alipompeleka ni kwao?
Walikuwa sahihi, huyo jamaa ni kweli alimteka huyo mtoto na akatoa madai yake ili arudishe mtoto. Huo ni utekekaji kabisa.
Ulitaraji wamuache hai?
Dhamira ni jambo jingine. Je angekuwa ni mtoto wako anatekwa na shemeji yako kwa ajili ya maugomvi yao ungechukua hatua gani?Kishabiki shabiki ni kweli mtamshambulia huyo jamaa aliye uliwa bila hatia, lakini niwaambie kweli dhamira ya huyo mwanamke na ndugu zake haito kaa iwe na amani siku zote za maisha yao hapa duniani na hasa ukizingatia waliye msababishia kifo ni baba wa mtoto aliye hai na walikuwa wakiujua ukweli wa tukio hilo hadi lilipo fikia.