goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Mimi nimedhurumiwa mtoto na mke nimenyanyang'wa na maahari nililipa yote bila kudaiwa hata senti kumi. Huwa nawaza kufata mwanangu lakini nafsi hugoma kabisa. Sasa ana miaka saba. Huwa wazo linanijia kuwa kama wameweza kunidhurumu vyote hivo watashindwa kunipigia nduru kwa majilani zao kuwa mm mtejaji wa watoto! Kwa kweli kuna jamii sio za kuoa kabisa. Na nasikia michezo yao ni binti anaolewa analipiwa mahari then anaharibu maksudi anachika na kuolewa tena na kulipiwa mahari nyingine.
Nimeamua nimwachie mola. Nilikuwa nimemfungukia mtoto bima ya afya toka akiwa mdogo ila kwa kuwa sasa ana miaka saba ninampango wa kuifunga rasmi ili sasa nao wapambane kivyao.
Kwa jinsi dunia ilivyobadilika ni bora kusamehe na kuanza upya kuliko kujifanya ninauchungu sn na mwanangu alafu yanikute ya huyo jamaa yako
Pole kwa kumpoteza rafiki. Amekufa akiwa anapambania haki yake. Wanaodhihaki ni vile hayawakuta