Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

Huyo jamaa yako atakuwa ni mwanaccm tu kwa akili hizo
 
Huyo jamaa inaonekana ni mgomvi sana, na inaelekea alikuwa anampiga sana huyo mkewe hadi akakimbia.

Kama anachukua mtoto si wake, huo ni utekaji.

Marehemu alizingua.
Poleni sana.
Ni kweli jamaa alikosea, lakini jamaa anaonekana alikuwa alikuwa amechoka, ni mpole sana, Yani mpole huwezi amini...inasemekana mke wake alikuwa mjeuri sana alafu jamaa hajui kujieleza
 
Hadi Sasa polisi na mke bado wapo hospitali wamelazwa kwa matibabu🥺🥺🥺
 
chai
 
Jamaa yako muache apumzike kwa amani.

1- Kwanza huwezi lazimisha mwanamke aende kwako utafikiri ni mzigo, ng'ombe au mbuzi, huyo mkewe alikuwa na maamuzi akatae au kukubali, sasa jamaa yako anamlazimisha ye kama nani?huoni huo ni unyanyasaji tayari?

2-Mtoto amekataliwa asichukue kwanini achukue mtoto wa mtu kinguvu?
Utakuta hata huyo mwanae aliyekuwa anamlazimisha kwenda nyumbani naye hakutaka...
 
Alikuwa anajilinda, yeye ndio alishambuliwa kwanza
Mi ninachoweza kushauri nyie vijana wa Tarime, acheni utemi usio kuwa na faida, dunia imebadilika, watu hivi sasa hawaogopi mapanga.

Mkoa wa Mara mna ka proud flani utasikia kijana anasema "mimi ndio mkurya".

Bro hizo zilipendwa, hivi sasa ukizingua watu wana deal na wewe perpendicular.
 
Kama hawataki ni haki yake kurudishiwa. Ng'ombe zake za mahari
 
Mambo mengine ni akili sio nguvu.

Hivi unaenda kuleta noma ukweni, ugenini ambako una uhasama nao na wako wengi na unatumia nguvu na sio busara..

Hilo la polisi umelichomekea ili jamaa yako aonekane ni msafi ila jamaa yako ndo alikua na shida upstairs.

Hata hiyo story pamoja na kuivuta saaaana upande wa rafiki yako bado rafiki yako hakujali usalama wake kabisa, sijui wewe ulikua wapi kumshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…