Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

Jamaa alikua anapambania bao lake alilolifunga kwa tabu na mateso
 
Polisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Wewe ukienda kupiga mbupu ukimwaga Wazungu kwenye condom hua unaondoka nayo au unamwachia?
 
Polisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Acha ubishi, ni mapanga , Sio risasi , mi Ndo najua
Polisi siku hizi wanapiga mapanga.
Nb
Hata kama mapolisi hatuwapendi vitu vingine tuache kuwasingizia.
Huyu mshikaji anaonekana ni mkurya na anapenda vagi. Alikutana na mashem wa ovyo kama alivyo yeye wakamshughulikia.
Acha ubishi, haukuwepo eneo la tukio
 
Ndege wafananao huruka pamoja. Marehemu na mleta mada akili zenu zinashabihiana sawia, ni bahati tu na wewe hukuingia ama hukumsindikiza rafiki yako kufanya fujo na kuteka mtoto kwenye hilo sakata nawe ungekula mapanga
Siungi mkono kuchukua mtoto wa watu, Wala fujo, ila marehemu alikuwa na haki zake
 
Siungi mkono kuchukua mtoto wa watu, Wala fujo, ila marehemu alikuwa na haki zake
Angeeenda mahakamani kupata haki yake, alichofanya kosa la marehemu ni kujichukulia sheria mkononi, nao ndugu wa mwanamke wakajichukulia sheria mkononi,ngoma droo hiyo.
 
Kishabiki shabiki ni kweli mtamshambulia huyo jamaa aliye uliwa bila hatia, lakini niwaambie kweli dhamira ya huyo mwanamke na ndugu zake haito kaa iwe na amani siku zote za maisha yao hapa duniani na hasa ukizingatia waliye msababishia kifo ni baba wa mtoto aliye hai na walikuwa wakiujua ukweli wa tukio hilo hadi lilipo fikia.
 
Dhamira ni jambo jingine. Je angekuwa ni mtoto wako anatekwa na shemeji yako kwa ajili ya maugomvi yao ungechukua hatua gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…