Polisi akija huko chomeni sindano za sumu wafe tuYule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Kun faya kunPolisi wakija, tutakuwa tunawachoma sindano za ...... kimya kimya, vita ni vita muraaa
Sahihi kabisa binadamu akikasirika atadeal na wewe, kwensekwense atakutana nazo baadae huko.Exactly, ukikasirika sana, mwili unaachia homoni ya adrenaline na cortisol, mwili unakuwa na nguvu isiyo ya kawaida, ni kama mwili unakufa ganzi, mapigo ya moyo huongezeka, blood pressure inapanda, katika hatua hii mtu anajihisi ana nguvu na uwezo wa kuchukua hatua yeyote....
Ndio maana kuna watu wazima unakuta ana kasirika hadi BP inapanda na anaweza kupoteza hata maisha...
Binadamu ni mnyama, hilo wafahamu.. akibadilika hatoangalia umevaa buti wala sare za polisi...
ungenivutia waya simu moja tuz huyo kamanda tungemuundia zengwe akalale ndani yeye 😒😒Sahihi kabisa binadamu akikasirika atadeal na wewe, kwensekwense atakutana nazo baadae huko.
Mi mwenyewe mwanamke lakini mwaka 2024 January nilifokeana na Kamanda wa Trafiki mkoa wa morogoro akaniambia binti ntakulaza ndani hayo unayoyaongea utayaongea kule, ningekuwa na nguvu ningemkwida hiyo siku.
Trafiki wanajua kutujaza upepo sana, nadhani wengi wamejizuia sana hata kuwanasa kibao.
Hapo angekuwa polisi wa kike inawezekana ungeruka naye...Sahihi kabisa binadamu akikasirika atadeal na wewe, kwensekwense atakutana nazo baadae huko.
Mi mwenyewe mwanamke lakini mwaka 2024 January nilifokeana na Kamanda wa Trafiki mkoa wa morogoro akaniambia binti ntakulaza ndani hayo unayoyaongea utayaongea kule, ningekuwa na nguvu ningemkwida hiyo siku.
Trafiki wanajua kutujaza upepo sana, nadhani wengi wamejizuia sana hata kuwanasa kibao.
Sema ni kwetu watu tumekuwa juu ya sheria, kuna nchi wanajeshi wanapigana na raia ila hawatumii mamlaka yao kunyanyasa raia hata...hapo wangeamria jamaa akaeleze kama ni vihela kidogo atoe wamwache aendelee na safari yake.Vitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
Acheni ujinga wenu, kipigo anapata kikubwa hakikisha unambua kofia, yaani ukifanikiwa kumtoa kofia chapa. Hiyo uniformu siyo dili na ndivyo ilivyo kwa wana usalama. Hivyo huyo traffic alistahili kichapoJapo siungi mkono kujichukulia sheria mkononi, ila Wakatk miwngine madakitari au Raia tambua ni kosa kubwa sana kumpiga Askari/Mtumishi akiwa na Uniform au Eneo la kazi
Ngoja wampapase atarudi tu hapo Mloganzila
Kesho nenda kamvue kofia Umbandue mmoja Mkuu wangu!!Acheni ujinga wenu, kipigo anapata kikubwa hakikisha unambua kofia, yaani ukifanikiwa kumtoa kofia chapa. Hiyo uniformu siyo dili na ndivyo ilivyo kwa wana usalama. Hivyo huyo traffic alistahili kichapo
Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.Kesho nenda kamvue kofia Umbandue mmoja Mkuu wangu!!
Si huwa wanaumwa watakuja tuwatibu naitwa dr inside nipo hapa sekou toureYule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Kweli huyo mchizi lazma atakua nyoka tu maana sio Kwa ule ujasiri ..Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
Wafuate utaratibu upi, na kuanzia muda upi? Maana jamaa kashapigwa na kuumizwa akiwa mikononi mwa polisi, tayari utaratibu ulishavunjwa kitambo na hao polisi.Polisi fateni taratibu.
Daktari wa ajabu sana huyu!?,kwa ile akili yake hafai kuwa daktari,madaktari wengi wapo very polites!....Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Nikwambie mzee, umeandika meeeengi ila yote hayo ni hisia zako tu sio ukweli wa mambo.Mara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
Kumtandika huyo daktari ni sahihi sana!,huwezi tu kujichukulia sheria kijinga jinga!..../ Ukizingatia alikuwa amepita kwenye njia isiyoruhusiwa halafu awe mbabe hii ni sawa kweli?..Ni kosa na lina hukumu kwa mujibu wa sheria .